wanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baadhi ya Wanachama wa CHAKUHAWATA wadai Uongozi wao ndio tatizo, waomba mapato na matumizi yawekwe wazi

    Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho. Wameyasema hayo August 19...
  2. GE2025 CHAUMMA yavuna wanachama wapya Makambako

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanikiwa kupata wanachama wapya katika ziara ya kisiasa ya mtiania wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, Salum Mwalimu, iliyofanyika leo Jumatatu, Agosti 18, 2025 mjini Makambako. Miongoni mwa waliojiunga na chama hicho ni wanachama kutoka vyama...
  3. Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  4. Ni vyema viongozi wa klabu za michezo wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti...
  5. H

    CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  6. GE2025 Makada wanne wajitokeza kumrithi Ndugai

    Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 2025. Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa...
  7. CHADEMA: Hatuishindani na CCM, tunashindana na vyombo vya dola

    Cc: Lucas Mwashambwa and ChoiceVariable
  8. GE2025 Wanachama w CCM Tabora wajitokeza kumdhamini rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora wamejitokeza kushiriki zoezi la kujaza fomu ya kumdhamini mgombea mteule wa nafasi ya Urais kupitia Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  9. U

    CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  10. GE2025 Wanachama CCM wajitokeza kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
  11. GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
  12. GE2025 Isihaka Mchinjita kuhusu Luhaga Mpina, asema ACT Wazalendo inawakaribisha watu wote waliokosa fursa kwenye vyama vyao

    Wakuu Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
  13. B

    GE2025 CCM yapasuka vipande viwili, wanachama hawaelewi wachague lipi! Ni huzuni kila upande!

    Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa. Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆. Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki...
  14. M

    GE2025 Wanachama wa CCM hawana uelewa na mabadiliko

    CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu. Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna...
  15. W

    GE2025 Piga picha nini Msajili wa vyama angeifanyia CHADEMA kama ingepitisha mgombea Urais kwa mwendokasi bila kutoa fursa kwa wanachama wengine?

    PIGA PICHA NINI MSAJILI ANGEIFANYIA CHADEMA KAMA INGEPITISHA MGOMBEA URAS KWA MWENDOKASI BILA KUTOA FURSA KWA WANACHAMA WENGINE?
  16. D

    je wanachama wa simba tunaluhusiwa kuuza hisa zetu?? kuna kama 800k kila kadi kwa dp world na bakhresa

    I will be short kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card. Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida. anyway ngivuu mmmoyaaa 😂
  17. A

    Faroe Islands na Gibraltar ni nchi zenye hadhi moja na Zanzibar, lakini wao wamekubaliwa kuwa Wanachama halali wa FIFA, Zanzibar imefeli wapi?

    Visiwa vya Faroe na Gibraltar ni nchi zilizopo barani ulaya... Hizi ni nchi ambazo hazina mamlaka kamili kuitwa mataifa huru kama ilivyo Zanzibar tu. Gibraltar ni ki-nchi fulani chenye watu 40,000 tu..kinamilikiwa na Uingereza. Wakati Faroe ipo under Danish realm.. Chakushangaza zaidi hawa ni...
  18. Farhan Kihamu na Ahmed Ally wajibizana kuhusu kusajili wanachama wapya Simba.

    Baada ya Mchambuzi Farhan Kihamu kuandika kuhusu Simba inavyopoteza mapato mengi kwa kushindwa kusajili Wanachama wapya jambo ambalo linasababisha ukata na kukwamisha maendeleo kwenye klabu hiyo Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amekuja kwenye komenti ya post ya Farhan na...
  19. GE2025 Kesi ya CHADEMA kumkataa Jaji Mwanga kutolewa maamuzi Julai 28, 2025

    Wakuu! Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo leo Mahakama itaanza kusikiliza shauri ndogo la kumtaka Jaji Hamidu Mwanga...
  20. M

    Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…