wana

The Middle East and North Africa (MENA), also referred to as West Asia and North Africa (WANA) or South West Asia and North Africa (SWANA), is a geographic region which comprises the Middle East (also called West Asia) and North Africa together. It exists as an alternative to the concept of the Greater Middle East, which comprises the bulk of the Muslim world. The region has no standardized definition and groupings may vary, but the term typically includes countries like Algeria, Bahrain, Egypt, Iraq, Israel, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen.
As a regional identifier, the term "MENA" is often used in academia, military planning, disaster relief, media planning (as a broadcast region), and business writing. Moreover, it shares a number of cultural, economic, and environmental similarities across the countries that it spans; for example, some of the most extreme impacts of climate change will be felt in MENA.
Some related terms have a wider definition than MENA, such as MENASA (lit. 'Middle East and North Africa and South Asia') or MENAP (lit. 'Middle East and North Africa and Afghanistan and Pakistan'). The term MENAT explicitly includes Turkey, which is usually excluded from some MENA definitions, even though Turkey is almost always considered part of the Middle East proper. Ultimately, MENA can be considered as a grouping scheme that brings together most of the Arab League and variously includes their neighbors, like Iran, Turkey, Israel, Cyprus, the Caucasian countries, Afghanistan, Pakistan, Malta, and a few others.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania haawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja,kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania hawana msimamo mmoja?

    Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
  2. JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣

    Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwenu wana JF

    Msaada, samahani wana JF kama unaandika barua ya kuomba nafasi zilizotangazwa na chuo kikuu, mfano unaomba nafasi ya uhasibu katika XYZ university, barua utakayoandika utatakiwa kumuaddress HR ama Principal wa chuo? Kuuliza si ujinga. Asante
  5. JamiiForums Tanzania Sijui ni kwa nini watu wanakuwa na tamaa thamani ikishakuwa kubwa ndio wana nunua kwa bei kubwa wakati mwanzoni walikataa.

    Hii hipo dunia nzima kila jambo.Kuna maeneo mfano dar es salaam pale kigamboni na n.k au mmbwemi ilikuwa ngumu mtu kununua zaidi kuzidi chini ya laki tisa na zaidi kipindi cha zamani. Leo waliokataa kununua ndio wananunua kwa bei kubwa zaidi.
  6. JamiiForums Tanzania Eti wenye Pesa hawana Kelele one day ntachafukwa niwape wana JF kwa idadi ya watu 500 kila mtu 100,000, mi si tajiri Lakini

    Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza Kelele zinapigwa na wanavyofanya Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu Siko vibaya sana Nasema haya makusudi, Ninyi ndugu zangu, kwanza dunian hakuna mtu maskini ni...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Argentina wana ya kutuambia sisi waswahili.

    Ebu wale waswahili wanaoishabikia Argentina wapitie hii video halafu wajitafakari. https://youtu.be/5Tp7uBeT0qI?si=Sw1A7kp4uiRfNoeR
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aibu wameona wao, mabosi wanaochangia tone kwa tone wana imani kubwa sana na Heche, wamuomba Heche atoe account binafsi nje ya shughuli za chama

    Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango. Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script. Badala...
  9. JamiiForums Tanzania Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi viakaunti vingi vimejoin may na june vya moto kweli🔥🔥

    Vina post kila ya dakika wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani😁😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…