wana yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    Wana Yanga twendeni Uwanjani kwa wingi na mabango ya D9

    Sikuhiyo D9 itawale ili GSM na Engineer Hersi wajue kuwa tulichukizwa kwa kitendo cha kuchukua ada na michango ya wanayanga na kwenda kununua silaha za kuua ndugu zetu.
  2. GENTAMYCINE

    Haya wana Yanga SC mjibuni Mandala Simba kwa hii Hoja yake ninayoiunga mkono 100%

    Haya na Wewe mwana Yanga SC uliyeko hapa JamiiForums je, nawe pia ukiivaa hiyo Jezi yenu HAUPENDEZI MBELE NA BADALA YAKE NAWE PIA UNAPENDEZA NYUMA Kwako?
  3. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  4. Pdidy

    KWANIABA YA WANA YANGA NA WANASIMBA WOTE TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI LEO UCHEZESHE VIZURI...

    MPENSWA KTK BWANA REFR DAHANE KWA NIABA YA WAPENDA MPIRA WOTE NCHII HUU TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI UNAPOENDA KUCHWZESHA MPIRA WA LEOO TAIFA LINAKUTEGEMEAA HUNA UBAYA NDUGUU WANAYANGA NA SIMBA WOTE TUKO NYUMA YAKOO  AMEN
  5. GENTAMYCINE

    Naona tayari Laana ya wana Yanga SC kwa Timu yao Kuichangia CCM Milioni 100 imeshaanza Kulipa huko Kigali Rwanda

    Jifanyeni tu mpaka sasa bado hamna Matokeo wakati mapema tu tayari Kipa Mjibinuaji Onyesha Boksa keshawekwa 1...!
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Wana Yanga mnishukuru sana mimi sio kama yule boss wa kinotibuku

    Yule boss wao kauziwa timu bilioni 20, badae akasema hatoi hiyo hela ila atanunua bonds za BOT na faida atakuwa anawapa, sahivi anasema alitumia bilioni 87 kununua boxer za kuvaa, mchicha na vitumbua kwaajili ya wachezaji. Sasa wenzenu wanadaiwa B 87 mimi siwadai wananchi hata 100 na nawaongeza...
  7. Pdidy

    MH MAMA YETU OMBI LA WANA YANGA NA SIMBA PACOME APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMAN...

    KAMA N MAPENZI YA MUNGU SISI WANA YANGA NA SIMBA TUNATAMANI HUYU BWANA APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMANI SIO KWA VIWANGO VILE UWANJANI KWAKO MAMA YETU TUNAOMBA SIKIA OMBI LETU MUNGU IBARIKI TANZANIA
  8. Bramo

    Baada ya Eng. Hersi Kuchukua Form ya Ubunge - Wito kwa wana Yanga : NRNE

    Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima. Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni mwana CHADEMA, pia ni mmoja ya wa Tanzania tunao wish CCM ife hata hii leo Nimewiwa kuja na uzi huu...
  9. GENTAMYCINE

    Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

    Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
  10. GENTAMYCINE

    Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

    Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa...
  11. GENTAMYCINE

    Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  12. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  13. Pdidy

    Wana Yanga Tumejiandaa kwa Maombi ya Mheshimiwa Rais na Taifa Tarehe 8 Machi, Mungu azidi kumlinda

    Wana YANGA mpooo Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya nchi yetu Tar 8 MARCH... Pamoja na hayo tumepanga kutembelea jamii mbalimbali kutoa misaada tar 7...
  14. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC wakiongozwa nami tunahoji mbona Skudu Makudubela kaachwa Yanga SC kimya kimya wakati aliletwa nchini kwa Mbwembwe na Kufuru zote?

    Rais wa Yanga SC Hersi nimethibitishiwa kuwa si tu Unanisoma hapa JF, bali pia Unanifolo hivyo nakuomba unijibu upesi.
  15. makilo

    Hakika chama anatokesea Wana Yanga

    CHAMA ANAFANYA USAFI HUKO INSTAGRAM Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku anatambulishwa hadi leo Chama amebakiza Picha na Video akiwa na Jezi ya Yanga zile ambazo amepewa Colaboration...
  16. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC wakiongozwa na GENTAMYCINE tunauliza je, Mwamnyeto nae Akioa Uongozi wetu utamzawadia 50M kama Aziz K?

    Nikiwa kama mwana Yanga SC Mwandamizi JamiiForums nzima nasubiria majibu ya Viongozi wa Yanga SC waliojazana hapa.
  17. GENTAMYCINE

    Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
  18. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  19. uran

    FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  20. E

    Hiki ni nini wana Yanga ?

    Hii ni kanuni ipi ?
Back
Top Bottom