Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita...