walipa kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Wazo; TRA marathon,jukwaa rafiki la kuwakutanisha tra na walipa kodi!!!

    Someni wazo mtoe maoni yenu!! Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
  2. Adharusi

    GE2025 Uchaguzi Mkuu ni uhalali wa kutakatisha Fedha za Walipa Kodi

    Kwenye kalenda ya uchaguzi, tunaambiwa kutakuwa na kupiga kura, niwaambie watanzania wenzangu Chadema wanahoja, mfumo uliopo sasa, naomba sana muelewe ile kauli mbiu ya October tuna tiki, maana yake hata usipoenda kupiga kura, watakutikia .. Tume ifunge camera vituo vyote ,kama wanataka haki
  3. E

    Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  4. and 998 others

    Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m?

    Inashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
  5. kagoshima

    Ofisi ya msajili ni moja ya taasisi mizigo kwa taifa na walipa kodi

    Malengo ya kuanzishwa ofisi ya msajili vyama vya siasa hayajawahi fikiwa na hayatofikiwa . taswira ya sasa ni kwamba msajili wa vyama vya siasa yupo kwa ajili ya kuhujumu chama chenye nguvu ya ushindani dhidi ya ccm. *Kwasasa msajili yuko bize kuihujumu CHADEMA huku akifumbia macho madaifu...
  6. ChoiceVariable

    Hizi Hapa Halmashauri za Wilaya 10 Zenye Mapato Chini ya Bilioni 2 Kwa Mwaka. Napendekeza zifutwe zinaongeza mzigo kwa Serikali na Walipakodi

    Hizi Halmashauri bila shaka ziliundwa Kisiasa,napendekeza Zifutwe haraka . Kati ya halmashauri 184 nchini, hizi hapa halmashauri 10 zenye makusanyo ya ndani kidogo 2023/24: 1. Bumbuli DC - Milioni 985 2. Madaba DC - Bilioni 1.23 3. Kakonko DC - Bilioni 1.33 4. Kigoma DC - Bilioni 1.34 5...
  7. mirindimo

    Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  8. R

    Serikali ya CCM acheni kujihujumu wenyewe, acheni kukamata walipa kodi

    Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya kazi,mnapomkamata maana yake mmepoteza mlipa Kodi na serikali itakosa mapato ya kumalizia miradi ya maendeleo...
  9. P

    Mradi wa Urekebu wa Sheria wagharimu Tsh 10 bilioni za walipa kodi. Kwa maneno ya Rais naona hakuna tatizo somewhere

    Nanukuu maneno ya rais: “Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalozindua leo limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”. “Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini...
  10. Mstahiki Mea

    Idadi ya walipa kodi yapungua

    Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji. Je, unadhani nini kimechangia hali hii? Je, wewe binafsi...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Orodha ya maeneo yote ya kuondoa machinga wote waliopanga bidhaa chini na kuzuia biashara za wenye fremu

    Hili ni jambo la kushangaza unakuta unaenda kununua bidhaa dukani unakutana na machinga mbele ya duka la muuza duka. Machinga huyo amepanga bidhaa zake chini ya duka la muuza duka. Kuna baadhi ya mambo inabidi serikali itumie nguvu kuwapanga watu vizuri ili watu waende maeneo rasmi ya...
  12. Lord Denning

    Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
  13. Blasio Kachuchu

    Walipa Kodi Mkoa wa Kikodi kupata huduma katika Majengo ya Diamond Plaza na Mariam Tower

  14. D

    Laiti mngelijua tunavyoumia sisi walipa kodi tunavyo ona pesa inamwagwa ovyo chadema kuliko kwenye miradi ya maendeleo

    Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi! Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi! Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa...
  15. Wazolee

    Michoro ya X na maandishi ya bomoa bomoa barabara ya Chamazi Mbande ni uhalibifu wa pesa za walipa Kodi

    Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
  16. K

    TRA inakusanya kodi hadi kwa Maduka ya Mtaani wakati Madalali wapo Mitaani wanaingiza fedha ndefu bila makato yoyote

    Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10. Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
  17. TRA Tanzania

    Dar: Wabunge waipongeza TRA kufungua ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu hali ambayo itaongeza ufanisi katika kuhudumia kundi hilo ambalo ni wachangiaji wakubwa wa mapato ya TRA. Wakiwa katika ziara ya kutembelea Ofisi hiyo...
  18. Blasio Kachuchu

    EY Tanzania yawakutanisha wadau wa Kodi katika Mkutano wa Mwaka wa Kodi jijini Arusha

    Kamishna wa Kodi za ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfred Mregi (aliyemwakilisha Kamishna Mkuu wa TRA, Yussuph Mwenda), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni ya Mahesabu na Ushauri wa Kodi ya EY Tanzania uliowakutanisha Wadau wa Kodi kutoka serikalini na...
  19. Scaramanga

    TRA yazindua ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu

    ------------ MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato. Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amezindua ofisi hiyo dar es salaam Oktoba 15,2024 . “Muunganiko huu na...
  20. DaudiAiko

    Mipango ya serikali bora inatakiwa kutatua kiini cha matatizo yake. Miradi ya kimkakati ni changa la macho

    Wanabodi, Katika kipindi hiki, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, uchaguzi utakaotupa fursa kama wananchi kutafakari masuala mbalimbali yanayotuhusu kisiasa na kimaendeleo, hatuna budi kupasua kichwa tukiwaza jinsi ambavyo kama nchi tunaweza kujikwamua kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi...
Back
Top Bottom