waliosoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana wanaoenda kusoma Ulaya wakirudi wanafanikiwa kwenye biashara tofauti na wenzao waliosoma nchi za Asia, tatizo nini?

    Nimeona vijana wanaoenda kusoma huko nchi za ulaya wakirudi wana kuwa na moto mkali wa kufanya biashara, hata wakiajiriwa basi kuna biashara pembeni, watu hawa nimeona biashara zao huwa zinafanikiwa sana japo simaanishi ni wote ila wengi, nimeona vijana wa kundi hili wanajituma zaidi na wana...
  2. D

    Titles za degree za bongo zinatisha na zina maneno mazito ila ndani ya vichwa vya waliosoma hamna kitu, msitishwe na titles

    Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha. Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
  3. Nimekutana na Watanzania waliosoma Ulaya, hawana kumbukumbu nyingi za social life, ni wengi wapo kama hawa?

    Kutokana na mazingira nayofanyia kazi zangu kuwa karibu na taasisi flani inayo husika na walengwa, nimeweza kujuana na baadhi yao waliosoma majuu sanasana wale wa ulaya ambao kwa sasa wapo Bongo. Wengi wana mengi ya kushare hasa kwenye suala zima la elimu jinsi walivyoweza kupata sponsorship...
  4. Kuwabagua waliosoma private mikopo elimu ya juu kunaenda kuigharimu Serikali

    Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu. Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi...
  5. M

    Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  6. C

    Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
  7. Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

    Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia? Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
  8. C

    Kuna usawa wowote kuhusu upataji mkopo kati ya waliosoma shule za serikali na binafsi?

    Wakuu, Kuna thread nimeona inaeleza usawa kati ya waliosoma gvt na pvt katika kupata mkopo Hapana kabisa, najua watu wanaolipia watoto wao kwa mwaka mmoja 2m-m5 kuanzia nursery had advance ndo uje kusema wana haki ya kupata mkopo wa 1.2 -2.0mil ya chuo kikuu? How comes Wale yatima na kaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…