Waandaaji wa sherehe kubwa ya Wakunyumba Traditional Party, MS Production chini ya mkurugenzi Lucy Francis Komba, wamesema bado wanahitaji wadhamini kutoka pande zote za nchi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Lucy Komba amesema kuwa, baadhi ya makampuni yamejitokeza kudhamini hafla hiyo lakini...