Wakulima wa tumbaku wa Kata ya Kasuga, Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma tumedhulumiwa fedha malipo yetu tangu Mwaka 2025, hela yetu haijalipwa, tumekosa Watu wa kutupazia sauti.
Muda mrefu umepita baada ya mauzo bila kulipwa tulitakiwa kulipwa Julai 2025 lakini mpaka Machi hii kimya kimetawala...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakulima wa Tumbaku nchini kuwa Serikali iko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha madai yao ya muda mrefu yanalipwa.
Soma pia: Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais...
Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo.
Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
Anonymous
Thread
kigoma
kilimo
malipo ya wakulima
mnada
tumbakuwakulimawakulimawatumbaku
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ameuta uongozi wa Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati kulipa haraka malipo yaliyocheleweshwa ya Wakulima wa zao hilo.
Buswelu amesema kuwa leo Jumatano Mwezi August, 2025, jua linapochwea Wakuliwa wawe...
Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini...
Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa tumbaku wilayani humo.
Batenga alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi gari kwa wakulima wa tumbaku...
Makamu wa Rais ameoneshwa kusikitishwa Kwa ulaji huo wa pesa za wakulima ukiofanywa na Watumishi Kwa kushirikiana na Maofisa wa NMB na watu wengine 15.
Waziri wa Kilimo amesema amechukua hatua zikiwamo.kuwasimamisha kazi waliotajwa huku VP Mpango akimtaka kuchukua hatua zaidi Kwa kushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.