wakili peter madeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wakili Madeleka: Tambua Kwamba Serikali hii siyo ya Kupangiwa Nini kifanye

    Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and Reconciliation kama Ile ya Askofu Desmond Tutu ya South Africa ili wahusika wawajibishwe na Viongozi wa Dola...
  2. The Palm Beach

    Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  3. R

    Wakili Madeleka: Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ikague Mali za watendaji wa serikali wanapoingia na kutoka kwenye ofisi ya umma

    Wakili Peter Madeleka ambaye pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia chama cha ACT Wazalendo leo Septemba 25, 2025 akizungumza na waandishi wa habari ameelezea kisa cha kesi ya Johanna Chifunda namna ambavyo Mahakama imeshindwa kutoa haki na Jaji Hemedi kutozingatia uendeshwaji wa kesi...
Back
Top Bottom