wake za watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Enyi wake za watu, tulieni kwenye ndoa zenu, mnasababishia vijana wadogo matatizo.

    Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa. Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kupoteza ubingwa au tunu ya uwanaume uliyopewa na Mungu wewe PENDA WAKE ZA WATU tofauti na wanawake wao hawana tunu yakupoteza

    Kila mwanaume anapaswa kulinda tunu na ubingwa wa uwanaume wake aliyopewa na mungu kitendo chakutaka na kupenda wake za watu ni kuweka rehani tunzo na zawadi hiyo. Sasaivi mtu akijua tu unatoka na mkewe nae anaanza maandalizi yakukupokonya ubingwa (tofauti na wanawake wakifumaniwa na waume za...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Confession: Juu ya kulala na wake za watu

    Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena. Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu.. Naishi Mkoa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

    Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume. Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo. Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini. Hakuna kitu cha aibu kama...
  6. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo silali na wake za watu

    Nimeamua kubadilika rasmi sitaki tena wake za watu ingawa ni watamu sababu kuu sitaki kua chanzo cha familia kuvunjika ni dhambi sana hasa nikiangalia watoto wanaenda kuishi tofauti na wazazi wao nimeshaivunja moja nyingine inahati hati ya kuvunjika
  7. JamiiForums Tanzania Enyi wake za watu hamliziki na hali za waume zenu?

    Mwezi uliopita nilienda duka la madawa kuingia mle nikakuta kuna mdada fulani simple sn mcheshi, nikamuelewa sana nikaomba namba nikapewa. Tumechat sn siku hiyo kumbe pia ni mwenyeji wa mkoa ninaotokea, bwana zilipita kama siku 2 akanitumia ujumbe oooh mi ni mwana kwaya kanisani jpil tunazndua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ni wepesi kuvutiwa kimapenzi unapowafariji, nimekuwa makini kuzingatia mipaka kwenye ufariji kupunguza msururu wa wake za watu inbox

    Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k. Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

    Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa? Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua Nauliza kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana, tuache tamaa ya kutamani wanawake wakubwa au wake za watu

    Habari wana JF. Vijana wengi miaka hii wamekuwa wakipagawa/winda/windwa/jipitishapitisha/tamani sana mijimama lakini pia wake za watu. Let talk about Mijimama first. ✓ Wakuu Jimama halina jipya utamu wote umeisha kilichobaki labda magojwa tu. ✓Jimama halina faida litakufanya ujisahau...
  11. JamiiForums Tanzania Ofcourse wake za watu kuchepuka tangu enzi ila ongezeko la vikundi na marejesho ime amplify hii maradufu sanaa

    Kuna wakati mke wa mtu kusaliti ilikuwa a one time, 2 time.. mistake ila sasa hivi wake za watu wanashindana kudanga na wakina "zakia mitikisiko" maana wanakuwa committed na mikopo au miadi inayozidi hali zao au ya wame zao kiuchumi so kinachofatia sasa hawezi kuuza vitu ndani bali alichonacho...
  12. JamiiForums Tanzania Wenye Guest House na Lodge Siye Tunaochepuka na Wake za Watu – Tunaomba Muondoe Magrill Madishani!

    Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI! Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
  13. JamiiForums Tanzania Haya ndio malipo ya kula wake za watu anayoyapitia huyu jamaa yangu

    Salamu Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana. Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichonifanya nikae mbali Sana na wake za watu

    Kuna mdada Leo kanitafuta, ndo nikakumbuka Mikasa baina yake na mimi, Imepita kama miaka mitatu hivi, Kuna tukio lilitokea nikajiapiza Hawa wake za watu ntakaa nao mbali kabisa katika maisha yangu Turudi nyuma kidogo, nimekulia mkoa ambao Kuna ubabe ubabe wa kijinga Sana , nakumbuka Kuna siku...
  15. JamiiForums Tanzania Atembea na wake za watu ishirini na sita (26)

    Tumfanyeje?
  16. JamiiForums Tanzania SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  17. JamiiForums Tanzania KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  18. JamiiForums Tanzania Muda huu kuanzia saa 4 Leo wake za watu watatafunwa Sana

    Wakati upo busy na Jambo fulani na wenzako wapo kukusaidia kwenye Jambo jingine Wengine watagongwewa kwenye vitanda na masofa ya waume zao Inaumiza Sana sema kataa ndoa uwa Wana hoja sometime!! Naiombea ushindi Simba ubaya ubwera uzalendo kwanza !!
  19. JamiiForums Tanzania Marejesho yanachangia sana uzinifu wa wake za watu na ushirikina kwenye ndoa

    Bw na bibi marejesho Naomba tu nikujuze kwa kweli ulipofikia sio pazuri Ingawa baadhi wanawapenda lakini hapana mpunguze makali ktk familia za watu Wapendwa nimeona niwajuze tu kwenye ndoa kuna mengi sana Kati ya mambo yanayotesa n marejesho.... Marejesho yamekuwq n shida sana ktk baadhi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wale za watu mjiheshimu jamani

    Kwanza awali ya yote kwa heshima na taadhima huku nikizingatia itifaki nawasalimu sana vijana wenzangu Niruke kwenye mada moja kwa moja mimi ni kijana wa makamo nipo kwenye Mid ya 3rd floor (30+) years. Me nimepata bahat na kibali cha kufanikiwa kwa kiasi flani kwenye maisha japo sio Tajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…