wakali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu...? Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu. Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu. Natanguliza shukran...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

    Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa . Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
  3. JamiiForums Tanzania Wakali wa draught nipeni maujuzi natoka na copy gani hapa nimekwama?

    Nnalo kwenye sim hili game nashukuru nimevuka hatua kama 4 ila nimekwama hapa kila nikitia mkono nagongwa kama nguruwe nwaza sijui ningekuwa na watoto wangap😅😅 Msaada wenu tafadhali
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

    Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka? Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…