waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya pengo la maendeleo kati ya Wakristo na Waislamu kwetu Watanzania wa asili

    Kwa muktadha wa post hii wahusika ni Watanzania wa asili pekee, bila kuhusisha Watanzania wenye asili ya kuhamia kutoka nchi nyingine (waarabu, wahindi, wachina, wasomali, n.k) Unapo observe demographics za watanzania wa asili ni rahisi sana kugundua kuna gap kubwa la kiuchumi kati ya waislam...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya waislamu wako obsessed sana na dini ya kikristo angali wakristo wengi hawana shida na wao?

    Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo. Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi. Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
  3. JamiiForums Tanzania Misalaba ya ma kabuki ya Wakristo huko Tripol Lebanon yavunjwa na waislamu Dunia iko kimya!!!!!

    Misalaba yote ya Kikristo iliharibiwa na kuharibiwa katika makaburi ya Waorthodoksi katika jiji la Tripoli lenye Waislamu wengi, lililoko kaskazini mwa Lebanon. Hii inaonyesha wazi waislamu wamekuwa ni tishio la Amani duniani!!
  4. JamiiForums Tanzania CHINA: Inaripotiwa kuwa waislamu wanalazimishwa kula nguruwe na kunywa pombe katika kambi za kudhibiti watu wasiotaka kufata mifumo ya uchina

  5. JamiiForums Tanzania Waislamu wakasirika na kulaani kwa kitendo cha mashoga kufanya sherehe Saudi Arabia.

    Waislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja. Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme. Video hiyo iliyosambaa kwenye Nyau de adriz
  6. JamiiForums Tanzania Waislamu wafurika kwenye mlima Minna huko Saudi-Arabia kusherehekea Idd!!

    Karibu mahujaji milioni 2 wa Kiislamu walikusanyika jana kwenye uwanda wa Mina nchini Saudi Arabia kabla ya kupanda Mlima Arafat, kuashiria kilele cha hija ya kila mwaka ya Hajj na mwanzo wa Eid al-Adha, moja ya sikukuu takatifu zaidi za Uislamu. Eid al-Adha, ambayo pia inajulikana kama Sikukuu...
  7. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa EFM Radio Wahamasishana Kununua Malaya Kahumba Morogoro

    TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia wataenda kununua malaya Kahumba Morogoro. Maudhui hayo yaliruka leo majira ya saa tano na dakika...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir Dini ni illusion. Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani...
  9. JamiiForums Tanzania Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel!!.

    Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza? Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu...
  10. JamiiForums Tanzania Waislamu na fikra finyu za kuifanya Tanzania kuwa dola ya Kiislamu

    Jana nimecheka sana, nikiwa katika kijiwe kimoja hivi katika mikoa ya kusini, wanazuoni (wao hujiita wanachuoni) wa dini ya kiislamu wakiongozwa na wahitimu wawili kutoka chuo cha MUM walikuwa wakijadili kwa kujigamba kuwa mkakati wao unaelekea kukamilika. Mkakati wenyewe ni kuhakikisha 51% ya...
  11. JamiiForums Tanzania Enyi Wakristo, Enyi Waislamu Kwanini Ushirikiano Mlionao Kujenga Madhabahu Hamuutoi nje ya Viwanja vya Masinagogi Yenu? MNAFELI WAPI?

    Kuna mstari usioonekana unaokatiza maisha yetu—mstari mwembamba sana, lakini wenye nguvu kuliko tunavyodhani. Ndani yake, sisi ni kitu kimoja. Nje yake, tunasambaratika bila kelele. Ndani ya kanisa, ndani ya msikiti—tunajenga pamoja. Wito ukitolewa, watu wanaitikia. Michango inapangwa, kila...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Papa wa Kanisa Katoliki umeonyesha unafiki wa wazi wa Uislamu na Waislamu kwa ujumla duniani

    Wakati baadhi ya mataifa ya Kiislamu yakionekana kushirikiana na Marekani dhidi ya utawala wa Kiislamu wa Iran, ni Papa wa Kanisa Katoliki ambaye amesimama wazi kupinga matumizi ya nguvu na kusisitiza njia za amani katika kutafuta suluhisho la kudumu lenye haki kwa mataifa yanayoendelea kukumbwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu aniprove wrong kwamba waislamu hawaabudu mwezi na wakristo hawaabudu msalaba

    Kumekuwa na mjadala kuwa waumini wa dini zote hizo mbili wanaabudu mungu mmoja, lakini kuna namna ukitazama unaona kama ni ibada za sanam.......
  14. JamiiForums Tanzania Ujiji Kigoma kukoje? Kwa nini Bar imepingwa vikali? Wakazi wake ni Waislamu wa msimamo mkali?

    Kuna tayari nimeiona ya wiki kadhaa zilizopita kuhusu ufunguzi wa Bar/Pub Kigoma Ujiji ulioleta mtafuruku mkubwa sana mpaka ikabidi aliyefungua Bar aende kukaa na vizee vya hapo kupata ridhaa zao! Wahojiwa wengi wa hapo wakizungumzia jambo hili la Bar kufunguliwa Ujiji ni kama vile wale raia wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mikoa inawaza ushirikina tu eti kupotolewa na nyeti huu ujinga hauwezi kusikia mikoa ya pwani au yenye waislamu wengi.

    Kuna mikoa inawaza ushirikina na imani potofu tu kuna mikoa ni ya ajabu sana yaani watu wake ni makatili na wamekosa elimu na mijitu inayowaza imani potofu eti kuibiwa nyeti huu ni ujinga wa kiwango cha lami fuatilia mikoa yote ambaye wameripoti huu ujinga wa kupotelewa na nyeti ni mikoa ambayo...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ndugu zenu Waislamu Sawa Yesu hakufa msalabani , Je yule aliyekuwa msalaba badala yake hatima ya mwili wake ilikuwaje? Aliz Alifufuka?

    Wenye elimu kubwa na Wanazuoni naomba majibu
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wimbi hili la Ushindi wa Vyama Mrengo wa Kulia Huko Ulaya Magharibi, Waislamu walioko Huko Wajiandae Kufunga Virago

    Kwa bahati mbaya sana Nchi za Magharibi kupitia mfumo wao wa Democracy, umejikuta katika miongo ya karibuni Serikali zao zikiangukia mikononi mwa Wasoshalisti/Wakomunisti. Huko Spain,UK, US, Netherlands, Germany Denmark, Malta,Greece nk. Mbaya zaidi wasoshalisti hawa ili waendelee kubaki...
  18. JamiiForums Tanzania Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

    Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu? Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakiristo watapata shida kwa waislamu

    Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo. Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
  20. JamiiForums Tanzania Serikali Ndio Imetuharibia,Laiti kama Wangewanunulia Waislamu Datubini ya Kutaza Mwezi Kesho Ijumaa Ingekuwa Eid El Fitr

    Laiti kama hili ombi lingetekelezwa kesho Ijumaa ingekuwa Eid na Watumishi wangefurahia weekend. Walaumiwe Serikali sio Mufti wa Bakwata (1) Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi | JamiiForums Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…