Jennifer Lopez akiwa katika ardhi ya Mtume, Jeddah – Saudia Arabia – akiwaselebusha Waarabu (maquresh), imekuwa ni picha ya ajabu na ya kushangaza kwa wale ambao bado wanaiheshimu ardhi hiyo kama tukufu. Muziki wa Kimagharibi, densi za uchi, na uropokaji wa kibepari vimegeuzwa kuwa burudani...
Kumekuwa na wimbi kubwa la mahubiri, imani potofu chini ya mwamvuli wa ukristo kiasi cha imani hali ya kikristo kuonekana ni uongo, utapeli, uzushi nk. Athari zake zimekuwa mbaya kwa waumini wengi wa kikristo.
Mwanzoni lilikuwa linaonekana kama ni tatizo la wakristo wachanga tu lakini kwa sasa...
Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango
Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach iliyofanyika katika kanisa hilo Sakina mkoani Arusha amegusia...
Mshirika akiwa na uhitaji wa pesa anaambiwa inabidi aombwe maombi apate pesa au mafanikio lakini wahubiri wenyewe wa kisasa wakitaka pesa wanasisitiza sana washirika wamtolee mungu matoleo ya sadaka, Sasa kwa nini na wao wenyewe wasiombe na kumsubiria mungu awape baraka.
Kuna wengine wanatembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.