wahaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hivi Wahaya ndio wana sifa kiasi hiki au huyu ni tapeli tu?

    Daah Nakutana na vituko gani sijui Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa...
  2. Wahaya Mmezidi sifa sasaπŸ˜‚

    Leo nilikuwa nimeketi zangu ubalazani kutokana na heka heka za mvua iliyonyesha Leo tangu Asubuhi Hadi arasili kwahiyo watu wengi hatukufanikiwa kufika kwenye maeneo yetu ya kutafutia riziki tumeshinda nyumbn Kwahiyo katika kusogeza muda nikaamua niwashe redio bhana mara ghafla yakaanza...
  3. R

    Wahaya wamepinda, ndege zote Bukoba to Dar zimejaa mpaka Lyamba!

    Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.! Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays! Tutajuta kwenda huko! Ngoja nipande Katarama Bus πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜
  4. Lifahamu kabila la Wahaya

    Historia ya Wahaya Wahaya ni moja ya makabila makubwa na ya kale nchini Tanzania, wanaopatikana zaidi mkoa wa Kagera, hususan wilaya za Bukoba, Karagwe, Muleba na Missenyi. Pia hupatikana kusini magharibi mwa Uganda karibu na Ziwa Victoria. Asili ya Wahaya Wahaya ni sehemu ya jamii za...
  5. Chanzo kutoka UN: Samia yupo mpaka wa Tanzania na Uganda. Jeshi malizeni kazi, mkamateni mkabidhini kwa Wahaya wamalize kazi

    Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni. Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania. Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
  6. Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  7. Wahaya ni kabila lenye mshikamano sana haswa katika taaluma(kisomo)

    Wahaya(haya) ni kabila lenye mshikamano mkubwa sana katika nyaja mbalimbali hasa kitaaluma Niliwahi kushuhudia hili wanachangishana pesa kusaidia ndugu waende kusoma chuo nje ya nchi . Just why Wahaya ni watu wenye mafanikio makubwa sana kitaaluma nikutokana na mshikamano wao na wanajuana hata...
  8. W

    Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  9. Wahaya hawastahili kupewa madaraka makubwa

    sisiemu imeshajifia muda mrefu sana Ila siasa za kupita bila kupingwa zimehasisiwa na MTU anajiita Bashiru Ally Kakurwa Muhaya kutoka Bukoba vijijini . Kama alivyowahi kusema mzee mmoja kuwa hii tribe ipo na matatizo sana . hasa wakikabidhiwa madaraka makubwa . no vision no humbleness Bashiru...
  10. Kwanini wasukuma huwa hawalii misibani tofauti na majirani zao wajita na wahaya?

    Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu. Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na...
  11. Wahaya kama Washana tuu kwenye uhunzi

    Wahaya wa Tanzania, wanaoishi karibu na Ziwa Victoria, walianzisha mchakato wa hali ya juu wa kutengeneza chuma zaidi ya miaka 2,000 iliyopita, muda mrefu kabla ya mbinu kama hizo kutokea Ulaya. Uchimbaji wa kiakiolojia katika miaka ya 1970 katika kijiji cha Buhaya ulifichua tanuru za zamani za...
  12. Vijana wa kihaya - mnaitwa πŸ™ŒπŸ½

    Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea πŸ™ŒπŸ½πŸ”₯πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½. Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚. https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
  13. Watawala wa Wasukuma, Waha, Wahaya, Wazinza, Wanyamwezi na Wafipa walikuwa Wahima(Watutsi). Kuna ukweli kiasi gani?

    Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na nguvu na maarifa mengi. Hilo liliwafanya kila walikopita, kuanzia Uganda hadi Kusini Mashariki ya...
  14. Wahaya kichwani wamebarikiwa sana hii haina ubishi.

    Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
  15. Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  16. Mnajua kwanini wahaya na wachaga wamefanikiwa sana ?

    Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao. Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu . Pia wachaga the same. Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter...
  17. G

    Vipara na wahaya ni dam dam.

    Wakuu kwema? Kipi kimejificha kwa hili kabila la kihaya! Kila mmoja wao akifikisha kuanzia miaka 30 tayari anakuwa na upaa. Shida itakuwa Nini wakuu. Merry Christmas.
  18. Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

    Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
  19. Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

    Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya. Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi...
  20. Zanzibar wana Kizimkazi, Bukoba ina Nyamukazi, wahaya hatujawahi kuchelewa

    Sio sifa, ila ndio ukweli, Bukoba ina Nyamukazi, inabidi na yenyewe iandaliwe tamasha. Munyegere
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…