Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?
Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?
Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu...
Ukifuatilia kwa umakini maelezo ya mashuhuda na manusura wa mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 29 Oct, ni dhahiri mauaji makubwa ya holela yalifanywa na askari wa kutoka Zanzibar, nao waliyafanya hayo kwa misingi ya chuki dhidi ya watanganyika, na siyo...
Baada ya serekali kuwaokoa wasiendelee na vipigo vikali kwa kufungia hizo kampuni za LLB na FIC kisha kuwakamata waliokuwa wakiendesha hizi kampuni za kitapeli ndio basi tena?
Ukimya ni mwingi. Nini kinaendelea?
Sina mengi ila nina mfano tu mdogo,
Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga"
Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana.
Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
GTs,
Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.
Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au...
Anaandika rapa Wakazi kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Kauli ya Katibu Mkuu wa UN (Antonio Gutierres) “WHEN JOURNALISTS ARE SILENCED, WE ALL LOSE OUR VOICES” tafsiri yake ni kwamba “Wana Habari wakinyamazishwa, sote tunapoteza Sauti”
Tunawalaumu wao kwa sisi kupoteza sauti zetu, ila...
Baada ya kutungwa stori za uongo kuwa israel inasababisha genocide hapo gaza, ukweli wa mambo umejiidhirisha wenyewe kuonesha wauaji wa raia wa kweli ni wakina nani, lakini cha ajabu dunia imetulia.
Hamas wanaendelea kuua wanachi wa gaza tena hadharani kwa hasira ya kushindwa vita.
Weka picha za wahanga wote duniani iwe ni wa Vita, njaa, matetemeko na majanga mengine
Kwa ajili ya kuwaombea na kuwatakia mema "hakika kila gumu lina mwisho"
Nashindwa kuelewa Kigoma tuna bahati mbaya gani kwa sababu Tanzania nzima serikali imewasaidia wahanga wote lakini Kigoma hatujasaidiwa, tunaomba tu Serikali itusaidie na sisi" - Mwananchi.
Kazi ya kwanza ya serikali ni kulinda uhai wa wananchi. Pili ni kulinda mali zao. Ibara ya 14 ya katiba ambayo ndiyo sheria mama inasema "kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria."
Ni kwa mujibu wa sheria tu uhai wa mtanzania unaweza...
Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.
Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao.
Tumieni simu au computer zenu...
Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia.
Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi:
Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo...
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini.
Uwepo wa vyama vya upinzani nchini ni muhimu sana Kwa kuwa serikali inabidi ipokee mawazo mbadala Kwa lengo la...
Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.
Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?
Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:
"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."
Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
MBUNGE NDAKIDEMI AWAKIMBILIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KATIKA KATA ZA MABOGINI NA ARUSHA CHINI.
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi ametoa pole kwa Wananchi wa Kata za Mabogini na Arusha Chini ambao nyumba na mazao yao yameathirika kwa mafuriko yaliyotokea katika Kata hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.