wagombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Wagombea Urais Uganda 2026

    Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda, kuna zaidi ya wapiga kura milioni 21 waliojisajiliwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026. Wapiga kura wataamua ni nani watamchagua kati ya wagombea 8 wanaowania nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali nchini humo...
  2. Natoa Angalizo wale wagombea urais muwe makini wale wavyama vidogo!

    Kuna uwezekano 80-90% uchaguzi ukasogezwa mbele kwa kutokea kifo cha mgombea urais . So wale jamaa waliopewa magari wa vyama vidogo kuweni makini ikiwezekana jificheni kaeni mbali Sana
  3. GE2025 Uchaguzi Tanzania 2025: Kampeni za mwaka huu hazina mvuto ukilinganisha na miaka iliyopita

    Kampeni za mwaka huu hazina mvuto ukilinganisha na miaka iliyopita," anasema mchambuzi wa siasa za ndani, Mohamed Issa, akieleza hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Tanzania mwezi mmoja tangu kuanza rasmi kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Kwa sasa, picha kubwa inayoonekana ni chama...
  4. T

    GE2025 Hivi wagombea urais na ubunge wanatuonaje watanzania?

    Hivi hawa watu wanagombea nafasi mbali mbali za kisiasa wanatuonaje. Mmoja kasema akipata urais vijana wataruhusiwa kulima bhangi, mwingine kasema kila mtanzania atapewa simu janja na vocha bure, mwingine atamleta mcheza cinema maarufu Arusha, mwingine anasema vitanda vya sita kwa sita itakua...
  5. J

    GE2025 Ukiwaangalia Wagombea Urais wa JMT kupitia Vyama vya Upinzani utagundua Vyama hivyo havina Watu kabisa

    Fikiria kwa mfano CUF kutoka kwa Prof Lipumba hadi huyu mgombea wa sasa bwana Gambo Inasikitisha mno
  6. GE2025 Pongezi INEC Kusawazisha Uwanja Tenge kwa Wagombea Urais Kufanania

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Ni makala ya pongezi kwa INEC kuanza kusawazisha uwanja tenge wa uchaguzi kwa wagombea 17 wa urais kwa kuwawezesha angalau angalau kufanania fanania kwa kuwapatia usafiri!, hivyo wataweza kufika popote ndani ya Tanzania hii. Vipi kuhusu...
  7. M

    GE2025 Haya magari waliyopewa Wagombea Urais pamoja na madereva yanakuja na mafuta yake? Au hela ya mafuta inatoka kwenye fundraising?

    Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za kiuchumi. Sasa mtu kapewa V8 na dereva ili azunguke nchi nzima kupiga kampeni swali langu ni je...
  8. L

    PICHA: Hawa Wote Walikuwa Ni wagombea Urais na wote wametangulia mbele za Haki

    Ndugu zangu Watanzania, Pichani ni viongozi ambao wote walikuwa ni Wagombea Urais na Wote Wametangulia Mbele Za Haki. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  9. GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  10. R

    GE2025 Mgombea Urais ACT Wazalendo anapitia wakati mgumu sana kwa sasa

    Wakuu habari, Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
  11. GE2025 INEC kugawa magari mapya kwa wagombea Urais ni matumizi mabaya ya fedha

    Wasalaam. Kwa nchi maskini kama hii yenye umasikini uliokithiri inashangazwa kuona wagombea urais wanapewa magari ya anasa aina hii. Kama mgombea urais hana hata usafiri kupiga kampeni alichokua fomu ya nini? Huyu ikitokea bahati mbaya akashinda urais si anaenda kuwa mwinzi kuliko ccm ya leo...
  12. Sina imani na afya za wagombea urais wa ccm (Tanzania bara)

    Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa. Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana. Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya...
  13. GE2025 Mpaka Sasa sijaona hoja za kiuchumi kutoka kwa wagombea urais mwaka huu

    Niseme ukweli, ni kwamba mpaka Sasa sijaona au kuridhika na hoja za kiuchumi za wagombea urais wakiichukua fomu INEC mwaka huu. Hakuna mgombea urais aliyeonesha namna atakavyo ikwamua Tanzania kiuchumi. Wagombea urais wengi wanahoja za kawaida au za kufurahisha hadhira. Wengine wanadai...
  14. W

    GE2025 Ukomo wa matumizi ya Kampeni za Wagombea Urais ni Billioni 9

    Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapejo, amebainisha kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 watapaswa kuzingatia viwango vya juu vya matumizi ya fedha vilivyowekwa. Kwa mujibu wa maelezo yake...
  15. GE2025 Kisheria wagombea wote waliochukua form za kuwania urais wamekosa sifa ya kugombea kwani wameanza kampeni za uchaguzi kabla ya muda wake

    Huu uchaguzi wa mwaka huu unaendelea kutuonesha jambo la msingi sana la kuwa mamlaka yote hutanguliwa na watu. Mwaka huu tumetangaziwa kutakuwa na zoezi la uchaguzi mkuu lakini cha kushangaza kila mgombea ameanza kampeni kabla ya tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa kampeni. Kuanzia chama tawala...
  16. GE2025 Ni kama wagombea urais wa upinzani wamelipwa kuongea Comedy

    Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja...
  17. E

    GE2025 Wasifu wa wagombea urais 2025

    Jamii Forums inakuletea wasifu wa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa mwaka huu 2025. Tutaendelea kutoa nafasi kila wasifu unapopatikana kupitia uzi huu. 1. Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan- Wasifu Samia Suluhu Hassan aliyezaliwa Januari 27, 1960, Zanzibar sehemu ya, ni Rais wa...
  18. GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  19. GE2025 Mapokezi ya wagombea urais chama cha ACT Wazalendo pemba Uchaguzi mkuu 2025

    Tazama Mapokezi ya wagombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina (Bara) na Othman Masoud Othman (Zanzibar). https://www.youtube.com/live/BOLHrWxkvIs?si=O3Q9QNPMpG4CKgI0
  20. Vifo vya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo nyie haviwafikirishi?!

    Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT 1. Anna Mgwira RIP 2. Maalimu Seif RIP 3. Benard Membe RIP SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…