Katika kesi inayoendelea Zanzibar ya kupinga matokeo ya ubunge Zanzibar iliyofunguliwa na chama cha ACT mwanasheria mkuu wa serikali ameweka pingamizi akidai mahakama ilipofunguliwa kesi haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo.
ACT imefungua kesi kwenye mahakama kuu ya Zanzibar ambayo...
Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja
Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
Wagombea wawili wa ubunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani, wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025
Wagombea hao ni Bw. Waziri Towakali wa Chama cha The United People's Democratic Party (UPDP) na Bw. Kamana Masudi...
Mara unaona Makonda katoka Arusha kaenda kumnadi mgombea wake wa Urais mikoa ya kanda ya ziwa na Dar es Salaam. Jimboni kwake hayupo kumpiga kampeni🤣
Nape akaacha kujinadi huko jimboni Mtama akaenda zake mikoa ya Kaskazini kumnadi mgombea wake.
Jumaa Awesu akaacha kujipigia promo jimboni kwake...
Katika kapneni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, baadhi ya wagombea ubunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametoa ahadi wakigusa kero za wananchi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), mwaka 2022 Dar es Salaam ilikuwa na wakazi milioni 5.4 na ni mkoa unaokua kwa kasi...
Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Dodoma, kimesimamisha Wagombea wa Ubunge katika Majimbo tisa katika Mkoa wa Dodoma, likiwamo Jimbo la Mtumba na Madiwani Themanini na nane katika ya Kata za Majimbo hayo ambapo Septemba 4, 2025 kinatarajia kuzindua kampeni zake za kuanza kunadi wagombea wao katika...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya karibu bilioni 100 kupitia michango ya wafanyabiashara mbalimbali nchini.
Hata hivyo, kuna masikitiko makubwa miongoni mwa wanachama na wagombea wa chama hicho, hususan wale wanaowania nafasi za ubunge na udiwani.
Fedha hizi, ambazo zinapaswa...
Kumpitisha mshindi wa tatu kwenye primaries na kumwacha mshidni wa kwanza linaweza kuwa ni siyo tu kutokuheshimu demokrasia na maoni ya wananchi bali pia ni dalili ya udikiteta. Kuna majimbo ambao CCM inaweza kukosa kwa mfano Tarime Mjini, Tanga mjini na kwingineko...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vyake vya kitaifa vitakavyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.