Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...