Treni mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan mapema siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa.
Treni moja, Millat Express ilitoka nje ya reli kabla ya kugongwa na treni nyingine, Sir Sayed Express. Haijafahamika mara moja...