wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niliyosema yameanza kutimia. Nilisema Fadlu ataua viwango wachezaji sasa anaua timu

    Nashaangaa mpaka sasa viongozi simba hawaoni.Nimeandika nyuzi nyingi za kuhusu fadlu na kuja kuua vipaji.. Sasa uwezo wa Chares Auwa, Balua na Kijili unashuka sana. Ata ateba sio alivyokuja Hadi Mavambo kocha anasema eti jitumi. Viongozi Simba oneeni huruma fedha za Mooo. Kama hamuwezi...
  2. Tetesi: Wachezaji Yanga wanadai malimbikizo ya posho

    Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho. Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai. Kuna bonus za last season wachezaji wanadai Kuna wachezaji Kama Azzi K hajalipwa signing fees yake ya mkataba mpya!! GSM na engineer wapo kwenye siasa tu wanataka...
  3. Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  4. Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  5. Simba iache kuokoteza wachezaji majalalani

    I salute you. Simba wamejiaibisha sana sana! Michuano hiyo mepesi sana inashirikisha team dhaifu mno ambazo laiti Yanga na wenzao kina Al ahly, Mamelodi na Esperence wangeshiriki basi wangekuwa wanajipigia watu kila siku huko! Sasa Simba wao wameshindwa hata kuvumilia kubana miguu wameachia...
  6. Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

    Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
  7. Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  8. Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  9. Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

    Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi. Ana hoja, asikilizwe.
  10. Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
  11. Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  12. Wachezaji wa Bravos Wavuruga Mazoezi ya Simba kabla ya mechi, wakitaka kutikisa Nyavu

    Ubaya Ubwela kama unamgeukia Mnyama huko Lupaso Mechi haijaanza ila Wachezaji wa BRAVOS wakawa wanalazimisha kwenda kutingisha nyavu za lango la Simba, imebidi Stewards waingie pia kuwatoa maana walienda kuingilia hadi program ya Makipa wa Simba waliyokuwa wanaifanya chini ya Kocha wa Makipa.
  13. Naked truth!: Uongozi wetu Yanga ujitafakari sana na wachezaji wetu

    I salute you kinsmen. Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale . Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi wetu ulikuwa unafanya kazi kwa hisia sana kuliko akili. Gamondi manzoni mwa msimu ule alihitaji...
  14. Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

    Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
  15. Yanga wasitarajie ushindi kutokana na kocha mpya, ubora wa wachezaji ndiyo utaibeba timu

    YangaSc Vs Al Hilal NJE YA PICHI.... Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote mbili. Msimu huu Al Hilal wanashiriki ligi kuu Mauritania ambako mpaka sasa wanaongoza ligi wakiwa...
  16. G

    Simba waipangia Pamba jiji namna ya kucheza, Ahmed Ally amewapa onyo wachezaji wasicheze kwa kukamia simba

    Ahmed Ally “Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses Phiri aliharibiwa kabisa maisha yake” “Nawaomba sana Pamba Jiji wasicheze kwa kukamia wakatuumizia...
  17. TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  18. Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?

    Wakuu Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji waliocheza mechi za mwisho dhidi ya Ethiopia na Guinea pekee, au inajumuisha wachezaji wote...
  19. Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

    Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani. Walichofanya Wakawa Wana organize support toka...
  20. Listi ya Timu za Premier League zilizo na wachezaji wengi majeruhi kufikia Novemba 19, 2024

    How each Premier League club has been affected by injuries so far as Man City and Arsenal bemoan availability problems... with FIVE sides worse off than the title rivals. Pep Guardiola and Mikel Arteta have frequently bemoaned injury problems this season, but title rivals Manchester City and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…