wabunge tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
  2. Nkobe

    GE2025 Leo ndio uchaguzi mkuu wa Wabunge Tanzania

    Oktoba ni danganya toto, leo ndio Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa watapatikana. Mchakato ulianza kwa Muhimili mmoja wa Serikali (Samia, Mpango na wenzie) kupitisha majina wanayotaka wao ili kuunda muhimili wa pili wa serikali. Iko wazi kuwa sasa Watanzania hawana tena haki ya kuchagua kiongozi...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

    Wakuu, Hii hapa ni orodha ya CV za wabunge kutokana na Mkoa husika wa anapotokea Mbunge. Hapo utapata taariza zake kwa ufupi kuhusu wasifu wao kwa ujumla na mambo mbalimbali waliyofanya kwenye uwanda wa siasa na hata nje ya hapo. Kuelekea 2025 - Arusha: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge...
  4. Roving Journalist

    PreGE2025 Simiyu: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    1. Kundo Andrea Mathew - Mbunge wa Bariadi Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 92488 dhidi ya Maendeleo Bernard Makoye (CHADEMA) aliyepata kura 33339 Elimu Yake Open University of Tanzania: Masters Degree in Project Monitoring and Evaluation (2015–2017)...
Back
Top Bottom