wabishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wajue vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao wamemtia unyonge Putin pia Warusi wenzetu wa pale Tandale

    Habari ukisubiria kikao cha Kamati kuu CHADEMA tupitie hapa Nilisema nitakuja kuwaelezea vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao mpaka leo wamemtia unyonge Putin pia warusi wenzetu wa pale Tandika kaburi 1. Putin alisema lengo lake la kuivamia Ukraine ni kui demilitarize na...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

    Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana 1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious? 2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya waendesha pikipiki ni wabishi, wakorofi na wajeuri

    Tunashukuru Wachina kutufikisha vyombo vya moto kama pikipiki. Ila ni moja la janga kubwa katika taifa kuanzia kwenye matumizi yake kufikia kujiingiza kwenye hualifu, uporaji kwa kutumia chombo chenyewe, uporaji wa pikipiki na mauaji yake, ajali za pikipiki na n.k Tuje kwenye matumizi ya...
Back
Top Bottom