Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na hali hiyo, katika jiji hili lenye wakazi zaidi ya milioni moja, madawati ya fedha hayafikiki, fedha...