Bila amri, vyombo vya usalama ie polisi, jeshi, TISS, Magereza, etç haviwezi kuua.
Nani aliviamrisha viué? Definitely ni wakubwa wa juu wa vyombo hivyo.
1. Rais
2. CDF...
3. IGP na wakuu wenzake RCO, ZCO etc etc....etc
4. DGIS
5. Magereza
6. Na wengine.....
Shida iko hapa: Nani amfunge paka...
Ndugu Wachezaji, Mashabiki na Wanaharakati wa Amani,
Tanzania yetu imetoka katika kipindi kigumu cha kisiasa, kipindi ambacho baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zetu wamepoteza maisha mikononi mwa vyombo vya dola wakati wakisimama kudai haki zao za kidemokrasia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini.
Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02...
Wiki hii nchini Afrika Kusini kuna habari nzito inatamba kuhusu Mkuu wa Polisi wa Jimbo la Kwa Zulu Natal Luteni Generali Nlanhia Mkhwanazi kumsema waziwazi mbele ya vyombo vya habari Waziri wa Masuala ya Polisi wa Afrika kusini kujihusisha na magenge ya kihalifu.
Mkuu huyu wa Polisi alifikia...
Habari za leo wapendwa, Katika muendelezo wa ziara za mh.Rais katika kanda ya ziwa ,mengi yanatokea,na mengi yataendelea kutokea.
Hii inashaabiana moja kwa moja na kauli ya wahenga inayosema "kwenye wengi kuna mengi"
Binafsi sishangazwi sana na mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye mitandao...
Rais ameonyesha imani kubwa kwa vyombo vya dola. Ameonyesha wanafanya kazi nzuri na kuwapa motisha wakujielimisha zaidi.
Je, wananchi wanaimani na vyombo vya dola kama ilivyo kwake Rais?
Soma Pia: Rais Samia aahidi kulipa ushirikiano Jeshi la polisi kutimiza majukumu yake
Leo tarehe 10.9.2024 Mzee Butiku amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu sintofahamu zinazoendelea hapa nchini.
Kwanza nikupongeze sana Mzee Butiku kwa busara, hekima zako kwa kuishauri Mamlaka kwa yanayoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu.
Mzee ameshauri kwa Mamlaka ya juu ya nchi kuwa wale...
Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu ni mbaya kuliko wakati wowote ule katika historia yetu walau kwa kipindi cha miaka ishirini...
Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa:
1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.