vyama

  1. chakii

    JamiiForums Tanzania Mbowe miongoni mwa wasaliti wa Vyama vya upinzani wa kweli kuwahi kutokea

    Wanaomfuatia ni pamoja na Lipumba. Subirini mtaona mengi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tufute ruzuku kwa vyama na badala yake iende kwa wakulima na wafanyakazi

    Huwa najiuliza mantiki ya kuvipa vyama vya siasa ruzuku kila mwezi. Zaidi ya makelele, migogoro, kelele, na usanii vinazalisha nini ikilinganishwa na wakulima na wafugani kwanza, na pili wafanyakazi? Kwanini hii ruzuku ya kila mwezi kwanza, isiende kwa wakulima na itakayobaki iende kwa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vyama katika demokrasia imara kote duniani haviweki ukomo wa uongozi, CHADEMA haijakosea katika hili.

    Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18 Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata bado ni Kiongozi mkuu wa chama cha Jubilee tangu mwaka 2016. Zimbabwe, Morgan Tsvangirai alikuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ilianza jamuhuri kwanza,Kisha vyama vya siasa halafu awamu za uongozi na majina ya watu baadae,kwanini jamuhuri inadogoshwa!!?

    Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!? Ni nani tumpe...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuita uhamaji vyama ima uchumia tumbo au umalaya wa kisiasa?

    Kila ukaribiapo uchaguzi aka uchakachuaji, wachumiatumbo wengi uhama vyama kwa sababu mbali mbali mzuri na mbaya. Japo tunasema ni uhuru kidemokrasia, je huu una tofauti gani na umalaya wa kawaida ambapo huu ni umalaya wa kisiasa uliohalalishwa ili kuvinufaisha au kuvidhoofisha vyama?
  7. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013. Amepigana vita iliyo...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inahaha kutaka Syria isitawalike.Nawashauri wanasyria waachane na mfumo wa vyama vingi.Wajitungie mfumo wao kuepusha kurudia kwenye machafuko

    Huku jeshi la Israel likiendelea kujichukulia maeneo ya Syria bila kukemewa na mshirika wake,Marekani.Antnthony Blinken tangu waasi wamuangushe Bashar Alassad amekuwa halali,anazunguka kama pia akitua kila nchi kushauri utawala mpya wa Syria uwe wa kuunganisha makabila na vyama vyote. Ushauri...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Historia ya vyama vingi vya kisiasa Tanzania ni giza nene sana

    Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea. Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
  10. chakii

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza : Vyama vya Siasa ni vya viongozi siyo wanachama

    Ikiwa ni saa chache tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kutangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika Alhamisi tarehe 12 Desemba 2024, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uongozi wa Vyama vya Siasa vya Kenya ni mzuri sana, I wish tungeuiga.ACT waliiga ila Zitto alikosea setting.

    Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

    2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56. 2024: Sio tetesi tena Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Uongozi wa Chama na wa Nchi ni tofauti, mission ya Mbowe haijakamilika

    PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA! “Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi. Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka nukuu za muhimu za kukumbukwa za Viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Afrika Mashariki

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni tupeane Raila Odinga: "Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

    Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa. Kitendo cha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Upande wenye siasa kali unashinda ndani ya vyama vya siasa

    Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda maridhiano wanashidwa na upande wenye misimano mikali mfano Mbowe upande wake unapungua nguvu na...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

    Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua. Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
  19. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  20. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Je, Vyama Vya Upinzani vinataka Kuungana pamoja Kuunda Umoja Unaitwa UDF (United Democratic Fronts)?

    Mliweswee! Mianyeyeee! Nawasalimu! Kama Mtakumbuka Miaka Kadhaa Nyuma Vyama Vya Upinzani Viliwahi Kujiunga Kipindi cha Bunge La katiba na Kutumia Muungano Huo kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015, Kwa Umoja uliokuwa Unaitwa UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi).. Na Kusimamisha Mgombea wa Urais...
Back
Top Bottom