vunjabei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

  2. JamiiForums Tanzania Nani alitufundisha kuhusu Duka la mtandao (Postashop) Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?

    Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea? Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

    "Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu...
  4. JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

    Wanaodaiwa kuwa Wapenzi, Mwanamitindo na Mwingizaji, Hamisa Mobetto na Mfanyabiashara Fred "Vunja Bei" wanadaiwa kumwagana. Ikumbukwe kuwa Mobetto na Vunjabei hawajawahi kutangaza wazi wazi kuwa wapenzi zaidi ya kupostiana kwenye mitandao wakiitana shemeji na pia kuonekana sehemu kadhaa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…