viwanda vya dawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mbunge Shabiby kuhusu vigogo wanaokwamisha viwanda vya dawa kujengwa nchini, wananchi wamuunga mkono, watoa neno

    Mbunge wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), mheshimiwa Ahmed Shabiby amesema anaweza kuwataja vigogo wanaokwamisha viwanda vya dawa za binadamu kujengwa Tanzania huku akiwaita ni wachawi. Akichangia Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2026-2027 iliyosomwa bungeni jana Mei 12, 2026...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ahmed Shabiby: Mapapa makubwa yamehodhi tenda za kuleta dawa nchini, nyingi ni feki na zina Milligram chache

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa maslahi binafsi huku wananchi wakiendelea kuumia kutokana na gharama kubwa za dawa. Akichangia hotuba ya Wizara ya Afya...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa atoa siku 21 uwekezaji viwanda vya dawa

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameagiza Idara ya Huduma za Dawa, Ofisi ya Mfamasia Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuandaa wito wa kuonesha nia kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba ndani ya siku 21.
Back
Top Bottom