Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja.
Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
Salaam!
Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea.
1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee?
2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na ndio maana hakuna hata mmoja alieona thamani ya kujiuzulu ubunge na kukataa kuwa sehemu ya Bunge...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia mwenyekiti wake mpya, Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Tamko hilo limetolewa kufuatia Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya hiyo...
Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana.
Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio...
Wakuu,
Akiwa anamjibu Askofu Gwajima siku ya leo, Jerry Muro amesema kuwa vitendo vya utekaji Tanzania havijaanza leo na kwamba kuna kipindi katika nchi hii kuna hadi mawaziri walikimbia nchi.
"Vitendo vya utekaji na kupigwa risasi nataka nikurudishe nyuma kidogo, vitendo hivi vilikuwepo au...
Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT "
Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa...
Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea.
Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa...
Mambo yanayoendelea Tanzania hayajengi uoga kwa Watanzania kama mnavyodhani, bali yanajenga usugu. Usugu huu unazaa kiburi kwa wananchi. Kiburi kitazaa dharau kwa Jeshi la Polisi na wananchi, na hatimaye dharau hizo zitaelekea kuzaa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Nadhani CCM mnataka tufike hapa...
Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama hicho, Mbarala Maharagande, leo Desemba 1, 2024
WANACHAMA WETU 200 WANAISHI PORINI KWA VITISHO...
Swali hilo linanifanya nianze kufikiri na kuamini kwa uhakika kuwa hawa sio Polisi wa kawaida bali hiki kinachoendelea ni matumizi mabaya ya ile sheria inayowapa watu wa usalama wa Taifa (TISS) haki ya kukamata watu huku wakiwa na kinga maalumu.
Kama Polisi wapo, basi watakuwa wameshirikishwa...
Salaam, Shalom!
Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto.
Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana...
- Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa;
-kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
amsterdam
ifutwe
jumuiya
jumuiya ya madola
katika
kupeleka
kutaka
kutokana
madai
madola
mauaji
robert
robert amsterdam
tanzania
utekajiutekaji na mauaji
vitendovitendovyautekaji
wanachama
Nawasalimu kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. SAMIA SULUHU HASSAN,
Kwa heshima na taadhima, napenda kukuandikia ujumbe huu nikiwa na imani na uongozi wako thabiti unaoongoza taifa letu la Tanzania. Tumekuwa tukisikia kwa muda sasa...
KWenye jambo hili la utekaji na mauaji halijaanza na ndugu Yetu Ali Kibao. Limekuwepo kwa muda sasa huku likilindwa na baadhi ya watu wente namlaka.
Kama kweli Rais unataka kuwapata wahusika kamili na kujua nafasi zao kwenye huu ushetani, ungetoa maelekezo wafuatao wakamatwe mara moja:
1)...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao.
CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
Wakuu kwema,
Watu wasiyojulikana siyo maneno mageni kwetu, na mambo haya yameanza kitambo kuanzia enzi za Kikwete na Ulimboka (kusoma tukio hilo zaidi hasa kwa Gen Z soma hapa - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana aliyetekwa na watu wasiyojulikana...
fichua watu wasiyojulikana
polisi vs watu wasiyojulikana
ukatili wa polisi
utekaji na mauaji
vitendovyautekaji
wasiojulikana
watu wasiojulikana
watu wasiyojulikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.