vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Wapiganaji wa FDLR inapaswa wawezeshwe zana vita ili wakaikomboe Rwanda toka mikononi mwa Gaidi

    FDLR Kimekua ni kisingizio kinachotumiwa na Rwanda ili kuhalalisha ugaidi na uvamizi wa mipaka ya Nchi nyingine huru. Sasa si muda wa Mataifa kuikemea Rwanda kwa mdomo ni muda wa kuhujumu Utawala uliopo Kigali kwa Kuwawezesha FDLR kwa zana vita, mafunzo na kusaidia taarifa za kijasusi ili...
  2. Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  3. Kiongozi wa CIA atangaza Marekani kusitisha kuipa Ukraine taarifa zozote za kijasusi na za kiusalama zinazohusiana na vita

    Wakuu, Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi. Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku...
  4. Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya

    Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya – Hiki Ndicho Kitakachotokea Vita Vikilipuka Kati ya Urusi na NATO Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine...
  5. Fedheha aliyopitia Zelensky Whitehouse imenifanya niwaze: Ingekuwaje Ghaddafi angeunganisha bara la Afrika Kisha Marekani ikatangaza vita na bara zima

    Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani? Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua jinsi Marekani ingetekeleza uvamizi wake kwa Afrika, hasa kwa kuzingatia Tanzania na Afrika...
  6. U

    Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

    Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’ Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
  7. S

    Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  8. Putin aliahidi kuikamata Ukraine ndani ya saa 48 na Trump aliahidi kumaliza vita hiyo ndani ya saa 24. What went wrong?

    Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa? Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza...
  9. X

    Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

    Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania? Chinese exercises 150km from Sydney Ikumbukwe kuwa...
  10. Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

    Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
  11. Kuna ushahidi gani kuwa CCM na Serikali yake ya sasa Wanapiga vita ushoga na usagaji? Toeni ushahidi

    Mwaka huu wa uchaguzi vyama vya siasa vishindane kwa hoja za msingi, CCM wakileta propaganda za kitoto na za kishamba kama za 2005 na 2015 wataaibika sana. Kamati ya CCM ya mipango ya kimedani ijieupushe na propaganda zenye utoto na za kizamani, CCM iweke bayana ni wapi ni ukurasa gani wa ilani...
  12. K

    Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi...
  13. Kagame anampiga vita Raila

    Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
  14. Vita kwisha! Trump na Putin wakubaliana kuimaliza vita vya Russia-Ukraine

  15. Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  16. Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

    Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini. Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka...
  17. Ethiopia iliwezaje kushinda vita ya Tigray waliokua wanakaribia Adis Ababa afu DRC inashindwa na m23 kisa vifaaa?? Inashindwa kukopy na kupaste

    Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu. Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu. Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi wa tigray waliku na support ya Western technologically. Hapa n pamoja na kuwavujishia satellite na...
  18. Viongozi wakifika kesho wataongea tu,lakini kwa sasa hakuna ufumbuzi kwa hii vita

    Tusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho. Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio waaminifu kwa nchi yao. Tutapata suluhu labda katika huu mgogoro lakini siyo katika Mkutano wa kesho...
  19. Video: Huu sio uchawa, ni ukupe na ukunguni kabisa. Tuupige vita

    Wanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti " Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe Unampenda Muhusika... Lakini Kwa Tabia Kama Hizi.. It's Too Much..
  20. Wanawake tunataka 50/50 kwenye mission za vita huko DR, Sudan na Chad !

    Imekuwa ni kawaida wanawake kudai haki sawa kwenye uteuzi, tukidai uwazi, upendeleo , kuwezeshwa na makongamano mengi , Bunge na mengine mengi lakini tupo nyuma kwenye kudai KUINGIZWA VITANI FRONT LINE, kupigana na M-23, kuingia machimboni. Covid-19 wamekaa bungeni, zaidi ya miaka 15 na bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…