Uwanja wa Ndege wa Erbil umefunguliwa tena baada ya ndege isiyo na rubani (drone) kuanguka karibu na eneo la uwanja kufuatia shambulio la drone dhidi ya mji huo.
Wakati huo huo, ving'ora vya tahadhari vilisikika nchini Bahrain, huku Kuwait ikitangaza kuwa imefanikiwa kuyadungua makombora ya...