visa kwa wageni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Naibu Waziri, Dunstan Kitandula: Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Visa

    Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa Nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama...
  2. Mhaya

    Rais wa Namibia ameamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500 akisema "Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia"

    Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia ameripotiwa kuamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500, akisema, "Ikiwa Waafrika wanahitaji visa kuingia Marekani, basi Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia". Kuanzia tarehe 1 Aprili 2025, raia wa Marekani sasa wanahitajika kupata visa...
  3. Roving Journalist

    Idara ya Uhamiaji yasema haijazuia kutoa Visa kwa Wageni

    YAH: UTOAJI WA HUDUMA YA VISA ON ARRIVAL KUINGIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuwajulisha wageni na wadau wote kuwa haijasitisha utoaji wa Visa kwa wageni kwenye vituo vya kuingilia na kutoka nchini. Hata hivyo, Idara ya Uhamiaji Tanzania...
Back
Top Bottom