virusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Wachina washikamana kukabiliana na virusi vya Corona

    Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi mikono mitupu. Siku mbili baadaye, mimi, mke wangu pamoja na mtoto wetu sote tulipatwa na virusi vya...
  2. Uganda: Virusi vya Ebola vyazidi kusambaa Kampala

    Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo. Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala kufika 15 kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Jane Ruth Aceng ikiwa ni siku chache tangu Serikali...
  3. KWELI Mashine za Kunyolea nywele zinaweza kusambaza VVU

    Kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya kutokuwa hai pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe. Inakuwaje sasa tunaambiwa HIV haambukizwi kwa mashine za kunyolea...
  4. Watafiti: Virusi vya Ebola nchini Uganda vimebadilika

    Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika. Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali. Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
  5. Uganda yathibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola

    Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
  6. Mtwara: Wazazi wanawaficha watoto wenye VVU

    Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani. Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…