viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  2. JamiiForums Tanzania Kati Ya Vyombo Vya Dola na Viongozi Wa Dini Nani Hapaswi Kujihusisha Na Siasa?

    Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida. Taasisi za serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tambueni mipaka yenu na watu wenu msituletee taharuki mtaani, kila mtu ana dini yake na asili yake

    Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin! Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wengine Allah anawaweka madarakani kama adhabu!

    Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo. Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

    Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii 😁 Yani unaweza kufumua kiota...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama serikali na viongozi kweli wanatanguliza maslahi ya taifa basi wawasikilize wananchi wanataka nini

    Uzi siyo mrefu sana ninaandika nikiwa natetemeka kutokana na upuuzi unaoendelea hapa nchini. Yani unamuuwa mwenzako kwasababu ya kulinda maslahinyako binafsi??? Kama kweli unalipenda Taifa na unataka liwe na amani kwanini usiwasikilize wananchi wanataka nini? Kwasabab wananchi wao ni majority...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

    Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog. Me? I’m a...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mjitathimini

    Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege. Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi...
  10. JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  11. JamiiForums Tanzania Tahadhari: CCM na viongozi wake mnajihatarisha kwa namna hii

    Kuna matukio ya uwizi wa kura, ufisadi wa mali za nchi, mikataba ya hovyo kuhusu rasilimali za nchi mfano bandari, misitu n.k Kufukuza Masai katika ardhi yao ya asili, kupanda kwa gharama za maisha na aina nyingine ya maovu mengi yanayofanywa viongozi wa serikali, chama tawala, taasisi za...
  12. JamiiForums Tanzania Our Man in Damascus, Tunajiuliza kwanini viongozi wetu sio wazalendo?

    Wakuu, Moja ya true story ni juu Kipenyo Eli aliejipenyeza from Israel hadi kufika kwenye mamlaka za juu kabisa nchini Syria. Kipindi cha miaka ya 60s, Syria iliisumbua sana Israel sambamba na kuua raia wake. Mossad wakaingia mzigoni na kumuandaa kijana E. Cohen as Kamel Thabeet na kumpa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini

    Ninatambua mchango wenu mkubwa katika kudumisha amani na haki nchini. Hata hivyo, nawaomba muache kabisa kutoa kauli zinazobeba viashiria vya uchochezi wa kuamsha hisia za kidini. Kumbukeni ninyi ni Watanzania mnaowajibika kujisomea maandiko ya kimfumo ya nchi yetu. Jifunzeni vitabu vya mfumo...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati umefika! Hatupaswi kuendelea kuvumilia upuuzi wa viongozi wetu

    Man, listen up! This thing is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa political games and dirty power struggles! Na siyo hapa tu, Afrika nzima viongozi wamekuwa slaves wa tamaa ya madaraka! Wanakula, wananywa, wanaiba, na...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na Hekima waliibuka kipindi cha JPM na kisha kipindi cha Samia. Hii ni aibu

    Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili. Nepotisme and Favoritisme ni LAANA Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza ! Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni...
  16. JamiiForums Tanzania Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  17. JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Je, viongozi wanawake wana moyo wa huruma na upendo zaidi ya wanaume?

    Uzoefu wako kwenye mazingira yako ya kazi na utafutaji unasemaje. Je kuna tofauti ya haiba ya uongozi na utawala kati ya wanaume na wanawake? Ni kweli kwamba viongozi wanawake ni waelewa na wana huruma zaidi hasa kwenye changamoto binafsi kama za kiafya au matatizo ya kifamilia?
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga mmojawapo wa waafrika wafia dini ya ukristo ni kufungishwa ndoa na viongozi wao wasio na ndoa

    Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa. Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi

    Kuendelea Kwa china kiviwanda, Kilimo na uzalishaji kuna tokana na kuwa na uongozi wa Wana sayansi. Ambao wanajua maana kamili ya uzalishaji na sio maneno maneno.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na watu wanafiki, wanaohubiri amani lakini ni vinara wa Kuua Amani

    Amani haipotei kwa siku tendo la siku moja bali ni malimbikizo ya mambo mengi kwa muda mrefu. Siku zote, wananchi wa kawaida huwa siyo wasababishi wa kupotea kwa amani. Kila mahali ambapo amani ilipotea, wasababishi wakubwa huwa ni watawala au watawala waliofarakana. Ni vigumu sana mwananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…