Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Tanzania Kuna kikundi cha watu mitandaoni na kilikuwepo awamu zote tangu awamu ya Mkapa mpaka sasa, kazi yao kuu ni kukejeli na kutukana viongozi wetu. viongozi wetu MSIFE MOYO kwani Kila mtu analaani matusi na upotoshaji.
sisi watanzania tunawaasa viongozi wetu Wasikate tamaa endeleeni...
Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza.
Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika
"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini...
Ukweli usemwe, viongozi wa Tanzania kila siku ni kutoa speech, mara sijui tuwe wazalendo, mara tujenge nchi, mara taifa letu ni imara, mara utasikia hatutavumilia viongozi wazembe, mara sijui tutaongeza fursa kwa vijana, yani kila siku ni speech tu halafu utekelezaji zero
Na hizi speech ni...
Mpaka sasa balozi karibia zote za wazungu zilizopo Tanzania wameshatoa pole kwa waathirika na wahanga wa October 29, wameombolezea msiba na wamesisitiza haki na maridhiano kuifanya nchi iende mbele kwa amani na utulivu.
Kwa upande mwingine mpaka sasa hakuna ubalozi au kiongozi yoyote Mwafrika...
Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu.
Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya...
To all it may concern.
Niende kwenye Mada,
Kumekuwa na stories nyingi Sana oooh uchumi umepaa Kwa sasa we do better compared to USA & European Countries. In real sense it can't happen to be over those countries, the countries arrange & decide the price of your raw materials.
Tukiachana na...
Inaonekana tunasahau ukweli kwamba Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa kimsingi Wazalendo wa Zanzibar kuchukua hatua dhidi ya serikali ya Kiarabu iliyokuwa na uhusiano wa karibu na hawa walikuwa na uhusiano na uongozi wa kisultani wa Oman, ambao ndio uliowarithisha utawala. Zanzibar ilikuwa kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.