Yaniuwia vigumu kukaa kimya napoitazama Zanzibar ya leo. Kuna hali ya kibaguzi kwa baadhi ya Viongozi wa vyama vya Siasa na Serikali ya Zanzibar ambao kama kwamba bado wanaishi karne ya 15.
Nasema haya kwa sababu sielewi sababu ya wao kusifia Utawala wa kifalme wa Sultan kama kwamba Zanzibar...
Leo sitaki kuzungumzia issue ya muungano na impacts zake. Nataka kwa ufupi kabisa nitoe kaushahidi kadogo kuwaambia Watanzania a.k.a Watanganyika kuwa viongozi wao wapo kwa ajili ya matumbo yao na ya watoto wao tu.
KODI
KODI
KODI
Kodi ya kuingiza bidhaa kutoka nje Tanganyika ni kubwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.