viongozi afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Amri ya Rais Samia ya Kubana Matumizi ya Mafuta na kupunguza Msafara Wake Imeteka Media za Africa. Samia Amekuwa Mwalimu wa Viongozi wa Afrika

    My Take Desperately Chadomo watakuja kupinga na kutukana 😂😂 Mama anatoa SoMo la Kuwa Kiongozi Afrika nzima.(Privileged leadership) Sio Kila Nchi inaweza kuwa na Rais kama Samia...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha The Animals Are Innocent: "The Search for Julie's Killers" kinaonyesha majibu rahisi ya viongozi afrika mfano tukio la Julie's kule kenya.

    Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Viongozi Msiopenda kuulizwa nyie ni akina nani?

    wakuu ===== Viongozi wengi nchini Tanzania wakiulizwa kuhusu ukweli wa mambo wameonakana kuwa wakali sana ivi kiongozi asiyependa kuulizwa jambo anafaa kuwa kiongozi wa wananchi kweli? Tumsikilize dada yetu kwa umakini sana Amewagusa viongozi ambao hawapendi kuulizwa
  4. rr4

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuongoza Africa

    Mimi: Hebu tupige stori kidogo kuhusu m23 congo Chatgpt: M23 (March 23 Movement) ni kundi la waasi lililoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lilianzishwa mnamo 2012 na wanajeshi wa zamani wa kundi la CNDP (National Congress for the Defense of the People) waliokuwa...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kiongozi wa waasi wa M23

    Kiongozi mkuu wa makundi ya waasi mashariki mwa Kongo Corneille Nangaa, Nangaa ni mfano wa viongozi wengi wa dunia ya tatu. Nangaa sababu ya yeye kuingia kwenye uasi anasema ni kwamba alipokuwa mkuu wa tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo maarufu kama CENI alishirikiana na mteule wake Rais Joseph...
Back
Top Bottom