Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
wakuu
=====
Viongozi wengi nchini Tanzania wakiulizwa kuhusu ukweli wa mambo wameonakana kuwa wakali sana ivi kiongozi asiyependa kuulizwa jambo anafaa kuwa kiongozi wa wananchi kweli?
Tumsikilize dada yetu kwa umakini sana Amewagusa viongozi ambao hawapendi kuulizwa
Mimi: Hebu tupige stori kidogo kuhusu m23 congo
Chatgpt:
M23 (March 23 Movement) ni kundi la waasi lililoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lilianzishwa mnamo 2012 na wanajeshi wa zamani wa kundi la CNDP (National Congress for the Defense of the People) waliokuwa...
Kiongozi mkuu wa makundi ya waasi mashariki mwa Kongo Corneille Nangaa, Nangaa ni mfano wa viongozi wengi wa dunia ya tatu.
Nangaa sababu ya yeye kuingia kwenye uasi anasema ni kwamba alipokuwa mkuu wa tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo maarufu kama CENI alishirikiana na mteule wake Rais Joseph...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.