vinu

Vinu is both a surname and a given name. Notable people with the name include:

V. M. Vinu (born 1958), Indian film director
Vinu Chakravarthy (born 1945), Indian actor, script writer, and director
Vinu Mohan (born 1986), Indian actor

View More On Wikipedia.org
  1. Si walisema wameangamiza kabisa vinu vya nyuklia vya IRAN? vipi tena Mwaisa

    Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran: Kuanza tena mazungumzo na Marekani...
  2. Al Jazeera: Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran. Asema ni kweli walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Wanajipanga upya

    Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
  3. Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran akiri vinu vyao viriharibiwa vibaya. Ila anasema watarudi tena kurutubisha

    Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya kirutubisha Nyuklia. Waziri akiri viliharibiwa vibaya. Na anasema hawajakoma. Watarudi tena kuanza...
  4. Swali: Iran bado ina vinu vya nukes? Kakamilisha kuunda silaha?

    Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu. Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi...
  5. B-2A Stealth Bomber yaruka angani kwa masaa 37 mfulilizo kwenda kupiga vinu vya nyukilia vya Iran

    Huko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.
  6. Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia. Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
  7. Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  8. U

    US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    1 hour ago Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated "The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
  9. Putin: Hatutaondoa wanasayansi wetu wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran

    Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran. Itakuwaje sasa, eeeeh? https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862 JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
  10. Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  11. Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  12. Tunafanya moto rewinding, kusuka na kufanya repairing motor na vinu vya jenereta

    Sisi wa watalaam wa kusuka motor zozote kuanzia 1horse power hadi 1000horse power. Pia tunasuka vinu vya Generator kuanzia 5kva to 2000kva. Offuce ipo Tabata Relin. Tuna wakaribisha company, Taasi yoyote pamoja na watu binafsi Karibuni sana 0693296809
  13. Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran

    Baada ya Mazungumzo Kati ya waziri mkuu, wa Israeli, Netanyahu na raisi wa marekani Biden, kuhusu Israeli kulipiza kisasi cha mashambulizi ya makombora ya Iran , Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran 🤔...
  14. Iran yafunga na kuficha vinu vyake vya nyuklia

    Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the “possibility” of an Israeli attack on Iran’s nuclear sites. Speaking to reporters in New York on Monday...
  15. Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
  16. Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  17. Ukraine wakomboa vinu vya mafuta na gesi, Boyko Towers. Warusi wakimbia mapambano na kuvitelekeza

    Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni, wanapambania ardhi ambayo wenyewe hawana haja nayo...... Walikua wamejichukulia vinu vya gesi, vimewatoka...
  18. Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao

    Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda... Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
  19. Ujerumani yataifisha vinu vya mafuta vya Urusi

    Hamna namna....imebidi The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to its economy from the European Union's embargo on Russian oil. The embargo is set to go into effect on...
  20. Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…