vingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Anaimba tangu 2020 kawahi kupata show mbili za laki 1 na elf 20, Nawezaje kumshawishi ajikite zaidi na vitu vingine vya kimaendeleo

    naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya vijana ninasikitika kwamba dogo anaweza kuingia huko. Mara kadhaa anashea nami miziki yake kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Waafrika vitu vingine tuachie wazungu tu 🤣🤣

    Lazima waote hawa usiku
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukiacha CCM ambao ndio wanaratibu dosari za daftari la kuandikisha wapiga kura, vyama vingine havioni dosari hizo?

    Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ? Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
  4. JamiiForums Tanzania Vitu vingine ni kama vya kijinga ila vina matokeo. Nimejaribu kufuata ushauri wa huyu Member, nimeona utofauti

    Mabibi na Mabwana habari zenu. Sio kitu muhimu sana but kimenifanya nijione maisha kuna muda mwingine yanaweza kupoteza vitu flan maishani mwako ambavyo japo unavichukulia kama minor issues but in real sense they are not. Kwanza kabisa fahamu kuwa; Ni muhimu sana kuwa makini na mambo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na vyama vingine chukueni mwelekeo huu haraka kabla ya uchaguzi, mtanishukuru baadaye!

    Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania. Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukimbia kwa Dkt. Nchimbi haikuwa sababu ya vyama vingine kususia mdahalo

    TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU. SWALI Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ? mjadala huu haukuwekwa maalumu kwa ajili ya Dr nchimbi,bali ni wananchi na makatibu wa vyama. kitendo cha makatibu wakuu...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya wachache walioweza kufanikiwa sehemu ngumu inafanya wengi wawe masikini, epuka huo mkumbo !! fanya kitu cha uhakika vingine weka plan b

    Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

    Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba. Au...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hivi mbona ACT na vyama vingine vya upinzani hatusikii kelele za Rushwa, viko safi.

    Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

    Tofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
  11. JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

    Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
  12. JamiiForums Tanzania Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

    Yaani Msipenga leo kajua kweli kutufurahisha Watu ambao hatupendi Shobo na Sifa za Watu Fudenge Wakoloni wetu.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaotemwa Simba wanakimbiliwa vilabu vingine tena vikubwa Africa, huu mchezo wa kuwaroga wachezaji wa Simba lazima ufike mwisho msimu huu

    Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

    Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini. Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kuna vifo vingine vinasababishwa na moto na kuvuta hewa ukaa. Jeshi la zimamoto uokoaji na wadau wengine tutoe Elimu kwa wananchi

    Taarifa fupi ya tukio la Ajali ya Moto iliyotokea nyumbani kwa mtumishi Zuberi Hassani Msemo Jambo afande. Naomba mpokee taarifa hii ambayo imewasilishwa kwa afande CC pia kwa taarifa yenu pia. Waliofariki 1. Mariam Zuberi Msemo - 1st Born 2. ⁠Salma Zuberi Msemo - 2nd Born 3. ⁠Bisma Zuberi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Tunauza mashuka, mapazia, zulia, neti, coffee table, pressure cooker, rice cooker, chapati maker, 🍽️ set na vingine vingi

    Habari zenu boss zangu. Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table, d, vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k 🧳🛍️🛒 .Dar maeneo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tunabandika stickers kwa bei nzuri, simu PC na vifaa vingine

    +255 62 290 8295 simu ziite Bei sticker za kawaida (plain) Kwenye cm 3k Kwenye pc 15k Bei sticker za picha Kwenye cm 5k Kwenye pc 20k Pc nzima 25k Napatikana dar es salaam Survey
  19. JamiiForums Tanzania Je, na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vingine Tanzania walishangilia Usiku Kucha jana baada ya Kuingiziwa 'BOOM' lao kama walivyofanya wa UDOM?

    Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi. Kama hujasoma au...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM ijitahidi kutenda mambo mazuri ili kutoviharibu vyama vingine vinavyoiga yanayofanywa na CCM

    CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…