vinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INAUZWA Vitu vya salon ya kiume vinauzwa kwa bei rahisi

    Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga 1.Kiti cha kunyolea 220,000 2.sink la kuoshea 200,000 3.vioo viwili kila kimoja 40,000 4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000 pamoja ya kuchongea 10,000 5.kochi 60,000 Mabechi mawili ya wateja kusubiria 100,000 6.kiti cha...
  2. H

    INAUZWA Nvidia Gt 1030 na Intel core i5 6500 vinauzwa

    Nauza Gpu yangu ambayo nilinunua mwenyewe mpya ya gigabyte gt 1030, inacheza games nyingi za zamani 1080p low setting na games mpya kwa 720P. -Vram 2GB Gddr5 -ulaji umeme maximum watts 30 -inaingia desktop yoyote sababu ni low profile. -ina play video 4K 60fps. Pia ipo processor ya i5...
  3. Plot4Sale Viwanja vinauzwa Turiani Morogoro

    VIWANJA, VIWANJA. viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na 2478, vyote vina hati . Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, hospitali, na umeme. Viwanja...
  4. Y

    Jiko la gesi na mtungi vinauzwa

    Hello, Nauza jiko la gesi na mtungi wake kama linavyoonekana.Havina tatizo lolote. Price: 120k Location: Rukwa
  5. INAUZWA Office furniture for sale, vinauzwa kwa Milioni 3.9

    Ninauza furniture za ofisini, Meza 3 yaani Executive desk 1, Conference table 1 (ya watu 4), na reception table 1, Viti 7, vyote hivi bado viko katika hali nzuri. Pia kuna Curtain blinds mbili, zulia na Partition ya ofisi milango miwili ya Aluminium. Ofisi iko Mnazi mmoja Dar es salaam, vyote...
  6. Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Mwanza

    Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu mwenye nacho hakumaliza process ktk halmashauri ya jiji akawa amefariki kinauzwa mil 32. Vyote...
  7. Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

    Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo. NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
  8. Viwanja vinauzwa Mbagala kongowe

    Viwanja vinauzwa mbagala kongowe Viwanja vimekatwa mara tatu ukubwa Kwa vipimo ni mita 24 * 19 Kila kimoja Viwanja vyote vipo ndani ya fensi upande mmoja Bei Kwa Kila kiwanja kimoja ni 10million Tsh na maongezi yapo Kwa mbaaali. Kwa mawasiliano Piga namba hizi 0688685707 0659446209...
  9. Viatu mid heels vinauzwa

    Habari nauza viatu sio virefu sana wala vifupi sana, vimevalika mara moja tu, vinapatikana Dar-es-salaam. Bei ni 20,000/ size ni 37 kubwa hata 38 anavaa. Karibuni
  10. Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
  11. C

    Makabati na mlango vinauzwa

    Makabati na mlango vinauzwa bei 1.8m maongezi yapo ukihititaji kimoja pia sawa 0685415869
  12. INAUZWA Nyumba na plot vinauzwa

    Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea. Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres). Mahali: Chamazi, karibu na Azam Complex. Inafaa kwa: Makazi na/au biashara Contact person : 0693 750 391/0711 751 197 (Mr Ngunga)
  13. K

    Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

    Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro. Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini, ukiwa unaelekea Dodoma. Hilo eneo linajulikana kama Nguvu Kazi. Baadhi ya Majirani wameshajenga...
  14. M

    Plot4Sale Miliki kiwanja sasa💪

    Stuka ujanja ni ardhi new new site 2023[📍forodhani city. Viwanja vipya Kisemvule Forodhani Cit,y wahi sasa mapema ujipatie kiwanja kwenye round about ya Forodhani City kwa 1,500,000 tu. Karibuni sana katika Mradi wetu mpya 📍Forodhani City, ujipatie kiwanja kilichopimwa na chenye hati miliki...
  15. INAUZWA Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa

    Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa. Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1, Drayer la stima 1, kioo kikubwa kimoja, rolas na tray ya rolas. Bei Tsh. Laki tano (500,000/=) vinauzwa vyote kwa pamoja. (As a package) Vifaa vipo Morogoro mjini. Kwa mawasiliano zaidi 0688476770.
  16. Vifaa vya bomba( pipe fittings) vinauzwa kwa Tsh. 65,000/= vyote kwa pamoja.

    Vifaa vya bomba (pipe fittings) vinauzwa. Bei= 65,000/= kwa vyote Mahali= Mbezi ya kimara Mawasiliano= 0765 150672 Size= 3/4 vyote
  17. J

    INAUZWA HDD, SSD, RAM vinauzwa bei poa

    Vimeuzwa, asanteni
  18. Y

    Vitabu vya elimu ya fedha na uwekezaji vinauzwa

    Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji. 1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki 2. School of money by Olumide O Emmanuel 3. Cash flow Quandrant by Robert Kiyosaki 4. Guide to Investing by Robert Kiyosaki 5. Rich Dad...
  19. Laboratory centrifuge inauzwa

    Electric centrifuge Matundu sita. Model no. : 800D Bei ni 180k Dodoma ilazo
  20. Nauza viwanja, nyumba na kupangisha nyumba maeneo mbalimbali Dar es Salaam

    *Mapinga- Viwanja vya makazi! Ukubwa wa sqm 500, viko km1.5 kutoka barabara ya lami. Vimepimwa tayari kwa ufuatiliaji wa umiliki kisheria. Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. Kumejengeka TAYARI Bei Tsh: 10M Lipia hadi miezi mitatu! Mawasiliano : 0753288167
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…