vikundi vya kigaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Mwaipopo kajitangaza wazi anamiliki vikundi vya kigaidi bila kuhojiwa. Wakati huo polisi wakibambikia vyama shi kesi za ugaidi

    Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  3. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Historia isiyozungumzwa : Vijue vikundi vya Kigaidi vya kizayuni na operations zao katika kupigania Ardhi ya Palestina mpaka kuunda IDF

    Moja kwa moja. NB : Huu Uzi umejikita zaidi kuzungumzia harakati za chinichini za Siri na wazi za Mazayuni zenye malengo wa Kigaidi zilizopelekea kuunda Taifa la Israeli . Kabla ya kuundwa kwa Taifa la Israel Jamii mbalimbali za Waislamu , Wakristo na Wayahudi walikuwa wakishi kwa amani katika...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hamas huwashambulia raia wa kawaida bila onyo, ilhali Israel hulenga wanamgambo na hutoa tahadhari kabla ya kushambulia maeneo ya raia?

    Israel mara kadhaa husambaza mamilioni ya vipeperushi, kutoa nafasi ya watu kuhama kabla ya kulipua jengo linalotumika kutunza silaha, kuwa na miundombinu ya mahandaki, n.k. Kwanini Hamas huwa hawafanyi hivi, wanapenda mashambulizi ya kustukiza na kulenga zaidi raia wa kawaida, kwanini...
  5. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ethiopia, Israel inataka kuitambua Somaliland kama nchi ili kupambana na Houthi wanaotaka kuungana na Al Shabab wa Somalia

    Somalia inapata ugumu baada ya mambo kuzidi kwenda Kombo! Wakati wako kwene vita ya maneno na Taifa lenye heshima kubwa Afrika kwa kutotawaliwa na wakoloni la Ethiopia, mtanange umegeuka nakua kilanga kikubwa dhidi ya Somalia hasa kwa wale wakereketwa wa “GREAT SOMALIA” baada ya Taifa dogo...
Back
Top Bottom