vijana wa kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

    Maisha wanayoishi huko ni mabaya kweli kweli.
  2. JamiiForums Tanzania Janga lingine kwa vijana wa Kitanzania ni hili hapa

    Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha. Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu Kazi hizo. Sharing is caring.
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wa Kitanzania ni mfano wa Dhahabu safi isiyong'aa!

    Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia ni kuzaliwa katika taifa la Tanzania na kuishi katika zama hizi tulizopo. Yawezekana walioishi zama...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

    Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab. Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia. Hata hayati...
  7. JamiiForums Tanzania Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

    - Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia. - Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili. - Waliochukua mkondo wa masomo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…