CCM ina Hazina Kubwa ya Vijana wenye kariba ya uongozi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuonesha kuwa kina hazina kubwa ya vijana wenye kariba ya uongozi, uzalendo na uwezo wa kulitumikia taifa. Uteuzi huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama kinachowaamini vijana na kuwapa nafasi ya kushiriki...