Hamjambo!
1. Wale wazee wa political analysis and evaluation mtakubaliana na Mimi kuwa vijana WA sasa wa CCM hawana ushawishi. Hawana mvuto.
2. Siongei kisiasa naongea uhalisia wa mambo ulivyo.
3. Jambo hili linawapa KAZI zaidi viongozi wakuu wa chama hicho na serikali kwa ujumla kwa sababu...
CCM ni kubwa na inao vijana wengi ndani yao ni vijana korofi katika jamii.
Lakini hadi sasa wameonesha kiwango kikubwa sana cha ustahimilivu pengine kuliko miaka yote iliyopita.wametulia na wamejikita kwenye hoja za siasa ...kamwe hawajajiingiza kwenye vurugu,kejeli au matusi.
It is a new era...
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote
Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi.
Fungueni macho
Hivi karibuni kuna vijana (kwa akili zao timamu) wameaumua kuunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wakiwa wanaonyesha support kwa Serikali na chama kwenye mitandao ya kijamii, wamepokea kejeri, matusi na lawama kwa vijana wengi sana; sasa jambo hili limewafanya wahisi vijana wao wanaona wajinga...
Wakuu
Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.
Sijui watashughulikiwa vipi, sad.
===
"Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana...
MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
Katika siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na maswali mengi kuhusu hadhira yake na jinsi inavyoshughulikia masuala ya kijamii.
Ni dhahiri kwamba vijana wengi, hasa wale wasio na uelekeo wa kimaisha, pamoja na makundi ya watu maskini, ndio wanaoonekana mara nyingi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.