Dereva Mwanamke wa gari la mizigo aina ya Copper akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameeleza malalamiko yake kuhusu kuzuiwa kwa siku tatu katika mzani wa Vigwaza, akidai kutozwa faini ya shilingi 956,400 bila maelezo ya kina.
Kuna mama analalamika kuzuiliwa na gari yake ya mizigo...
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Vigwaza kimeadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake, huku kikitoa wito wa kuepuka ubaguzi katika mchakato wa uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti wa chama hicho, Athumani Kimui, ameeleza kuwa CCM haikubali kuwepo kwa ubaguzi baina ya wanachama wake, akisisitiza...
Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu,
1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI"
2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI WAMEZOEA MAJI YA MASHIMO?
3: N. K
Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane
---
AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA.
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo...
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo!
Mungu wape wepesi ndugu zetu!
Tutaendelea kupata taarifa kamili...
Karibuni mjipatie Shamba la eka saba na nusu kwa bei nafuu ya shilingi milioni 20. Shamba liko umbali wa kilomita tatu na nusu kutoka barabara ya lami ya Dar Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku, mbuzi, bata na mifugo mingine.
Huduma ya maji ya DAWASA imesogezwa karibu na shamba...
VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA
VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu.
Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
Karibuni mjipatie Shamba la eka saba kwa bei nafuu ya shilingi milioni 25. Shamba liko umbalinwa kilomita mbili na nusu kutoka barabara ya lami ya Dqr Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku, mbuzi, bata na mifugo mingine. Karibuni sana
Property investors company inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja kwa bei ya offa maeneo ya
1. Madale - 28,000/= kwa sqm
2. Bunju - 20,000/= kwa sqm
3. Vikawe - 8000/= kwa sqm
4. Mwasonga - 8000/= kwa sqm
5. Vigwaza (mashamba) - 2.5M/= kwa sqm
>Viwanja vinaanzia 500sqm na kuendelea
>Maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.