vifo maandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina uchungu na waliondamana kuliko watekaji wa raia wana uchungu na mali na miundombinu kuliko makumi ya vijana waliokufa

    HAKI ya kwanza na ya muhimu kwa raia yoyote ni haki ya kuishi. Hakuna mali wala miundombinu wala maendeleo yoyote yanaweza kulinganishwa na uhai wa raia mmoja TU. Uhai wa mtu hauna mbadala tunao mara Moja TU. Kama maendeleo ni Kwa ajili ya watu ,ukishaua raia wako hayo maendeleo Yana faida gani...
  2. JamiiForums Tanzania Gen Z Mbeya wakimuaga mwenzao kishujaa, aliyefariki kwenye maandamano

    Hivi ndivyo Gen Z huko Mbeya walivyomuaga mwenzao kishujaa, aliyefariki kwenye maandamano makubwa ya kitaifa yaliyofanyika siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 hadi 31, 2025 na kusababisha polisi kuua mamia ya raia.
  3. JamiiForums Tanzania CCM mnafanya kosa kubwa kuthamini vitu kuliko uhai wa watu, mtajuta

    Baada ya Mauaji ya Oct 29-31, 2025 CCM na serikali yake wametuma Vijana mitandaoni na viongozi wengine wanatoa matamko kuonyesha kuwa wao wameumizwa zaidi na kuharibiwa Mali za serikali na bàadhi ya Mali za watu binafsi walionasibishwa na CCM zaidi ya walivyoumizwa na vifo vya Watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania "CCM Wauaji, CCM wauaji" Sauti zilisikika wakiimba katika mazishi ya Gen Z aliyeuawa kikatili na polisi

    Hii ilikuwa Rombo, jana Novemba 8. Vijana walikuwa wakimzika Gen Z mwenzao, aliyeuawa wakati wa maandamano ya kudai haki yao. Wakati wa mazishi, sauti za waombolezaji zilisikika zikisema ‘Wauaji CCM’, huku vilio na hasira za kizazi kilichochoshwa na ukatili vikigubika shughuli za mazishi.
  5. JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako): Hata mimi sikuwahi kufikiria kama tunaweza kufika hapa tulipo

    Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako atoa ujumbe wa pole kwa watanzania kwa mauaji ya mamia ya raia siku ya uchaguzi Oktoba 29 na 30 nchini Tanzania, anasema hata yeye hakuwahi kufikiria kama tunaweza kufika hapa tulipo. Soma: Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) akiimba...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Watu 9 washtakiwa kwa Uhaini Makambako, idadi yafikia watuhumiwa 196 nchi nzima

    Watu tisa wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe wakikabiliwa tuhuma za kosa la uhaini na kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 makosa ambayo waliyalifanya kwa kipindi cha kati ya mwezi March mpaka Octoba 30 mwaka 2025. Akisoma...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Naibu Katibu Mkuu TEC, Padri Msaga: Tusipotenda Haki, Amani haiwezi kutawala kamwe

    Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Chesco Msaga, C.PP.S, leo Novemba 7, 2025 katika Ibada ya kuwaombea marehemu na majeruhi wote waliopata madhara katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, amesema, “Haki ndiyo huzaa amani. Tusipotenda haki, amani haiwezi kutawala kamwe.”
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

    Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram. "Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakazi: Tusiiombee Tanzania, tuipiganie. Msije na #PrayforTanzania kama trend tu!

    Msanii Wakazi kupitia Ukurasa wake wa X (twitter) amewasihi Wananchi kuipigania Tanzania yao badala ya kuandia hastags tu kama trends. Amesema hakuna uhalali wowote wa watu kuuawa hata kama kuna vitu viliharibiwa. Anasema; DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT! Hakuna Mtu perfect, na ni kweli...
  10. JamiiForums Tanzania Muuaji anavaa jezi ya Yanga anaenda kuua mamia ya Watanzania mchana kweupe, halafu Klabu haitoi hata neno la kukemea wala kusikitika

    Hii nchi niliwahi kusema ukielewa how deep hizi timu za Simba na Yanga zinavyotumika kupumbaza na kuumiza Watanzania, wengi mtalia sana. Yule jamaa aliyevaa jezi ya Yanga aliyetoka akaenda na wenzake kumiminia watu risasi za vichwa hakuamka tu akaamaua avae jezi ya Yanga na wala hakushtuliwa tu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Prof Tibaijuka: Tuwazike kwa heshima, tuombe toba kuondosha sifa za Taifa letu kwa kutotambua HAKI ndiyo msingi wa yote

    Profesa Anna Tibaijuika ambaye ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Makazi katika Serikali ya awamu ya nne chini ya Dr. Jakaya Kikwete, ametuma salamu za pole kwa Watanzania wote waliofikwa na madhara ya maandamano ya October 29 na kushauri kwamba wote waliofariki wazikwe kwa heshima...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kawaida: Video zilirekodiwa na nani, kama waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani? Swali kwako

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi? Na kwa nini misiba ya waliokufa kwa risasi inageuzwa jukwaa la lawama badala ya tafakari ya Taifa?
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Sho Madjozi: Watanzania ni watu wapole, kufikia hatua ya kupambana ni ishara kuna jambo kubwa limefikia kikomo

    ‎Msanii mashuhuri kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu marafiki na Watanzania kwa ujumla, kufuatia kile kinachoendelea nchini Tanzania baada ya maandamano na machafuko yaliyosababisha vifo, majeraha na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Matukio ya Utekaji yanaendelea, Watekaji wanapitia Video Clips za Maandamano na kuwatafuta watu Mtaani. Vijana kuweni tayari kwa lolote!

    Sikio la Kufa halisikii Dawa !!. Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana. Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?. Hata hili pia Muwe nalo tayari, Msigopeshwe, msirudi Nyuma!!. Njia tuloichagua ,ndio njia sahihi, Lazima tupambane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…