vidonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
  2. Walimu: Rais Samia atatuponya madonda

    Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu. Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai? Nani anajiweka nje ya ukweli kwamba sisis ni miongoni mwa wafanyakazi wa Tiafa hili ambao kwa miaka...
  3. Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Kuna dawa ya hernia bila upasuaji?

    Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Na kuna dawa ya hernia without surgery
  4. Vidonda visivyo vya kawaida kwenye uume

    Kichwa kinajiekeza. Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia raha, nikajua ni kawaida tu, then next three days nikawa napata kama michubuko kwenye kichwa tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…