viboko shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LHRC yafungua kesi ya kikatiba kupinga adhabu ya viboko shuleni kufuatia kifo cha mwanafunzi Simiyu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni. Kesi hii imewasilishwa kwa niaba ya Samwel Maduhu Mangu, mlezi wa marehemu Mhoja Wilson Maduhu...
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Viboko havina maana vipigwe marufuku shule zote kwa sheria kali

    Ifike mahali huu utaratibu wa kuadhibu watoto shuleni kwa viboko vikali upigwe marufuku maana hauna maana yoyote ile. Viboko havisaidii lolote ni ujinga tu kuendeleza huu upuuzi. Tuna elimu mbovu sana hatuwazidi chochote hao wenye nchi wasio chapa chapa hovyo watoto shuleni iwe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wizara ya elimu ifute adhabu ya viboko kuwanusuru walimu na wanafunzi

    Nimekuwa nikiitafakari sana hii adhabu ya viboko mashuleni kila ninapoona taarifa ya mwanafunzi kuumizwa na mwalimu kichukuliwa hatua kwa kumuumiza mwanafunzi Ni wazi kwamba kuna wagonjwa wengi wanakufa hospitali kwa uzembe wa madaktari, kuna abiri wengi wanakufa kwa ajiri kwa uzembe wa...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ungeweza kufikia hapo ulipo bila kuchapwa fimbo?

    Wakuu kwema? JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni. Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...
Back
Top Bottom