vibaraka

  1. Mashujaa katika Serikali ya Awamu ya Tano waliokataa kuwa watumwa na vibaraka

    Habari za usiku wanabodi, Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana yake ndogo ni "anaweza kukabili jambo lolote kwa ujasiri, bila kuzuiwa na woga. ". Katika awamu ya...
  2. C

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
  3. L

    Uchaguzi wa 2020 ulivyoweka vibaraka wa Mwigulu Jimbo la Iramba

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Innocent Msengi ni ndugu na rafiki wa karibu wa Dr. Mwigulu. Huyu bwana hujinasibu alimaliza kidato cha nne. Lakini ukweli ukweli hatakiwi kujisema hivyo kwa kuwa alikuwa darasani na kakangu mimi na aliambulia Daraja la Sifuri - kitu ambacho huwa...
  4. Vibaraka wa mabeberu tambueni kuwa Tanzania ni dola huru, ina mamlaka kuamua iwalinde namna gani raia wake

    Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania (JMT) imetamka wazi kuwa Tanzania ni dola huru yenye mamlaka yake ya kujitawala. Kwa mantiki hii rais wa JMT ana mamlaka ya kuwalinda raia na taifa zima la Tanzania bila kuingiliwa na ushawishi toka mahala popote. Tambueni kuwa Tanzania...
  5. A

    Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  6. Tumeyashinda mabepari, tumeyashinda mabeberu, tumewashinda vibaraka wao Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Robert Amstaderm

    TUMEYASHINDA MABEPARI,TUMEYASHINDA MABEBERU,TUMEWASHINDA VIBARAKA WAO TINDU LISSU,ZITTO KABWE NA ROBERT AMSTADERM. Leo 09:30hrs 01/11/2020 Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi wa asilimia 84.5% umerudisha heshima kwa Wapigania Uhuru wote waliopambana kuleta Uhuru mwaka 1961,Ushindi wa CCM umerudisha...
  7. Tundu Lissu v/s Bernad Morrison, hapa hakuna namna ya vibaraka kuhamisha attentions za watu?

    Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana. Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni...
  8. Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti. Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
  9. N

    Ukweli hadharani: bado dakika chache tugundue vibaraka wa mabeberu kwenye TV stations

    Nasema hivi kuanzia saa moja usiku TV stations mbalimbali hurusha taarifa zao za habari na naomba muangalia vizuri sana tena kwa makini. - Wapo watakaotangaza habari ya kupigwa pini mipaka ya Kenya kwa huzuni sana - wapo watakaotangaza wakijifanya wana huzuni lakini facial expressions zao...
  10. Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  11. Propaganda za Vibaraka na Usaliti wa Wasaliti

    Ni wapi mzalendo anapokuwa msaliti na mtetea anachokiamini anapoitwa Kibaraka, na ni wakati gani hayo maneno yanakuwa propaganda za kumtoa mtu kwenye mstari ? Mpaka pale tutakapoanza kusikiliza ni nini kimesemwa na sio nani kasema, na vilevile tutakapotaka kujenga umoja na utaifa (ubinadamu) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…