In the context of hardware and software systems, formal verification is the act of proving or disproving the correctness of intended algorithms underlying a system with respect to a certain formal specification or property, using formal methods of mathematics.Formal verification can be helpful in proving the correctness of systems such as: cryptographic protocols, combinational circuits, digital circuits with internal memory, and software expressed as source code.
The verification of these systems is done by providing a formal proof on an abstract mathematical model of the system, the correspondence between the mathematical model and the nature of the system being otherwise known by construction. Examples of mathematical objects often used to model systems are: finite state machines, labelled transition systems, Petri nets, vector addition systems, timed automata, hybrid automata, process algebra, formal semantics of programming languages such as operational semantics, denotational semantics, axiomatic semantics and Hoare logic.
Hello Wakuu.
Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii.
Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again"
Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
Habari za mida wakuu..
Mi nna changamoto moja kwa upande wa RITA verification number. Nmeingiza taarifa zangu mhim na kwa usahihi zaidi ya mara 2 lakini nikishamaliza na kuletewa control number ya malipo, nikishalipia taarifa za tarehe ya kuzaliwa inabadlika kutoka 29-10-2004 na kua...
Mfumo wa ukaguzi wa risiti wa TRA mtandaoni haufanyi kazi. Kila Receipt Verification Code inayowekwa inaonyesha “risiti haitambuliki”.
Kama risiti haziwezi kuthibitishwa, imani yetu katika jinsi kodi inavyopokelewa na kusimamiwa inapotea.
Kuna maana gani ya kuwa na verification code kama...
Hellw jf,ninatoa huduma zifuatazo
1.Kusaidia mtu kupata AVN number(Award Verification Number)
AVN ni nn?
AVN ni Award Verification Number,namba ambayo inasaidia watu kuipata na kuweza kuendelea na masomo yao ya Degree.Ili kuipata mtu anatiwa ahakikishe matokeo yake yametumwa NACTE.
2.Kwa wale...
Kwene vita Majeruhi wa kwanza wa vita hua ni Ukweli.
Mimi technophilic nitafanya kazi ya kuverify Ukweli na Propaganda
Unaweza tuma picha au video nikaverify
Natumaini hamjambo, ni muda mrefu kidogo sijatumia telegram nimekumbuka lile group la Xiaomi users tz nimedownload lakin sipokei verification code tatizo inaweza kua nini?
AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
Hellow nipo DAR ES salaam, Tanzania ninaomba Msaada (Guidance) WA kupata documents zinazokubalika kufanya verification ya residential address kwenye account ya payoneer,
Nimejaribu bank statement imekuwa rejected na payoneer system Kwasababu inaonesha P.O.BOX Address, email yangu ni...
Habari wanajamii forum.
Ningependa kuuliza kuhusu Namba ya Uthibitisho wa Diploma ya NECTA (Award Verification Number). Nina Diploma kutoka NIT na ninataka kuendelea na masomo ya ngazi ya juu, lakini bado sijapata Namba hii ya uthibitisho. Namba hii inahitajika ili kuomba mkopo wa masomo, na...
Kwa yeyote ambae atahutaji usaidizi wa kuelekezwa au kufanyiwa HUDUMA zifuatazo asisite kunitafuta.
1.RITA verification ya VYETI vyote. VYETI vya KUZALIWA na VIFO
2.kufanya application za vyuo vyote.
3.kufanya application ya mkopo kwa wale wanafunzi wa vyuo.especially degree na level ya juu...
Habari wanajukwaa.
Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA.
Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA.
Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia.
Mbaya zaidi hata...
huduma za rita
kuhakiki vyeti
mikopo elimu ya juu
mkopo wa chuo
rita
rita kuhakiki vyeti
rita kuhakiki vyeti vya kuzaliwa
uhakiki wa vyeti
verification
vifo
vizazi
vyeti vya kuzaliwa
Habari za wakati huu wakuu!
Nimefungua channel youtube lakini iko limited kupost video zenye urefu zaidi ya dakika 15 kwa sababu bado sija verify. nimejaribu kuverify lakini kila muda ina niambia either hivi.
au
Naombeni kujua ni fomart gani ya namba youtube wana accept maana nimejaribu...
Error. The account verification SMS could not be sent. Please try again later.
Naomba msaada kwenye hili wana JF.
Kila nikijaribu kufanya verification ya account yangu ya Instagram ili nipate blue tick inaniletea hiyo sms.
Habari wakuu,
Poleni kwa majukumu.
Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB.
Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama.
Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
Habari,
Leo nimeingia kwenye account yangu ya remotask, ila kwenye dashboard, inaniletea natakiwa nifanye verification, ila kila nikiweka namba inanigomea inasema invalid.
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.
Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.
Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.
Nitaweka interface hapa kurahisisha.
Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help
Link ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.